Radio Tadio

Community media

24 March 2021, 11:24

Njia yenye mawe yawakimbiza wanafunzi wa kijiji cha Imekuwa

Wananchi wa kitongoji cha Bohari pwani kilichopo kwenye kijiji cha Imekuwa halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani hapa wamekubaliana kuwaondoa watoto wote wenye umri wa kuanza shule katika kitongoji hicho na kuwapeleka kwenye kijiji cha Imekuwa ili waweze kupata elimu.…

9 March 2021, 09:19

Mkopo Milioni 162.7 wapamba siku ya Wanawake

Wananchi kata ya Nanguruwe wameonesha furaha baada ya kushuhudia baadhi ya vikundi vya wajasiriamali wakipokea mkopo wenye thamani ya Tzs. 162,770,000/= kutoka sehemu ya 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri ya Wilaya ya Mtwara unaolenga kuwainua kiuchumi kupitia makundi…

27 February 2021, 11:23

TANESCO Mtwara yachapwa goli 3-1 na Veteran Mtwara

Timu ya shirika la umeme Tanzania(TANESCO) Mkoa wa Mtwara, wamechapwa goli 3-1 na timu ya Veteran Mtwara. Mechi hiyo ya mpira wa miguu iliyochezwa leo februari 27, 2021 kwenye viwanja vya bonanza mkoani hapa, TANESCO wamefungwa goli zote tatu katika…

7 February 2021, 12:18

Waomba Shule ifunguliwe

Wananchi wa kijiji cha Tangazo halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani hapa wameiomba serikali wafungue shule ya sekondari Tangazo kwa kuwa watoto wao wanatembea umbali wa zaidi ya km 20 kwenda na kurudi shule ya sekondari Mahurunga hali inayopelekea baadhi…

5 February 2021, 08:00

Madiwani Mtwara fanyeni Kazi za maendeleo

Waheshimiwa madiwani wa manispaa ya mtwara mikindani mkoani Mtwara wametakiwa kufanya kazi kwa ushirikiano ili kujipatia maendeleo. Hayo yamesemwa na Afisa tawala Idara ya serikali za Mitaa kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa Mtwara Bi Edith Shayo, katika kikao cha…

4 February 2021, 08:55

TADIO kupambana na Magonjwa ya mlipuko

Shirika la Habari za Maendeleo Tanzania (TADIO) limeanza kusambaza vifaa vya kujikinga na magonjwa ya mlipuko vilivyotolewa na UNESCO Dar Es Salaam Office kwa kushirikiana na Serikali ya Tanzania kwa vituo vya redio jamii chini ya mwamvuli wa TADIO.Vifaa hivi…

14 January 2021, 04:46

Mvua zasababisha kifo

Kutokana na mvua kubwa zilizonyesha siku mbili mfululizo katika manispaa ya Mtwara mikindani,imesababisha kifo cha mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Ally Machulila (65) dereva pikipiki aliyesombwa na maji alikuwa anakatiza kwenye maji na kuzidiwa na kusababisha umauti, pia baadhi…