Radio Tadio

Geita

June 8, 2021, 3:37 pm

Jamii Yaaswa Kuwaelewa Wajawazito

Na Zubeda Handrish: Jamii imetakiwa kuwa na uelewa juu ya  hali anayopitia mwanamke katika kipindi cha ujauzito ambacho mara nyingi hupelekea mwanamke kuchagua baadhi ya vyakula pamoja na hasira. Hayo yamezungumzwa na Daktari Victor Kajoba kutoka hospitali binafsi ya SAKAMU…

June 7, 2021, 6:57 pm

TWCC Yawatembelea Wanawake Migodini

Na Zubeda Handrish: Katika kuendelea kuwainua wafanyabiashara wadogo wanawake kwa upande wa Uchimbaji,Mkurugenzi Mtendaji Wa Chama Cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC) Bi Mwajuma Hamza ametembelea machimbo madogo ya Dhahabu ya Mgusu, Msasa na Nyarugusu Mkoani Geita Akizungumza na Strom FM…

June 4, 2021, 9:50 pm

Buzi wakamatwa Geita

Baadhi ya wafugaji wa Mifugo aina ya mbuzi  katika Mtaa wa Mpomvu  kata ya Mtakuja Halmashauri ya mji wa Geita  wamefika  nakutoa malalamiko katika ofisi  ya mtaa huo kutokana na mbuzi wao kukamatwa bila kufuata utaratibu unaotakiwa. Aidha wananchi wa…

June 4, 2021, 9:41 pm

Tutumie nishati mbadala kuokoa Mazingira

Jamii katika halmashauri ya mji wa Geita mkoani Geita imetakiwa kutumia nishati mbadala kwa matumizi ya majumbani na sehemu za kazi ili kuondokana na changamoto ya ukataji wa miti na utupaji wa taka hovyo. Rai hiyo imetolewa na afisa mazingira…

May 31, 2021, 8:16 pm

DC Geita Awasisitiza Wakulima Kuchangamkia Fursa Za Mikopo.

Na Joel Maduka: Mkuu wa wilaya ya Geita Fadhili Juma amewataka wakulima kuchangamkia fursa ya Mkopo wa vifaa vya Kilimo inayotolewa na Benki ya NMB ambayo itawasaidia kujikwamua kwenye shughuli zao za kilimo ambazo wamekuwa wakizifanya. Mkuu wa Wilaya ya…

May 31, 2021, 8:08 pm

Ushindani UMITASHUMTA Waongezeka Geita.

Na Joel Maduka: Afisa michezo Mkoa wa Geita, Carol Steven amesema kwa kiasi kikubwa ushindani kwa halmashauri sita zilizopo ndani ya Mkoa wa Geita ni mkubwa zaidi ukilinganisha na miaka ambayo wameshaendelea na michuano ya michezo ya UMITASHUMTA ambao umekuwa…