Radio Tadio

HABARI KITAIFA

May 3, 2021, 10:43 pm

SERIKALI yapigilia msumari waandishi kuwa na Diploma.

Na Kijukuu Cha Bibi K-Arusha. SERIKALI imesisitiza kuwa kufikia mwezi wa kumi na mbili mwaka huu sheria iliyopitishwa ya kuwataka waandishi wa Habari wawe na kiwando cha elimu ngazi ya stashahada itaanza kutumika na kwamba waandishi ambao hawana elimu ngazi…

May 2, 2021, 1:35 pm

DC ARUSHA:Tutawalinda waandishi wa habari na haki zao.

Na Kijukuu cha bibi K SERIKALI imeahidi kushirikiana na waandishi wa Habari wote nchini katika shughuli mbali mbali za maendeleo ikiwa ni Pamoja na kuwalinda waandishi wa Habari na kulinda haki zao. Hayo yamesemwa leo Jijini Arusha na Mkuu wa…

April 29, 2021, 10:08 am

Kikosi cha 23 KJ Kimehitimisha mafunzo rasmi ya Sambalatisha Adui.

Jeshi la wananchi wa Tanzania  kikosi cha 23 KJ  limehitimisha mafunzo rasmi ya sambalatisha adui  yaliyolenga kujikumbusha mbinu mbalimbali za kivita  ikiwa ni pamoja na kujiweka timamu kila wakati  ili kuendelea kulinda mipaka ya nchi . Mkuu wa shule ya ifantiria Brigedia Jenerali  Selemani Gwaya ambaye…

April 23, 2021, 7:54 am

Madiwani Kishapu waazimia kumsimamisha kazi mweka hazina.

WIKI Kadhaa baada ya ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuipa hati ya mashaka Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, Madiwani wa halmashauri hiyo kwa kauli moja wameazimia kumsimamisha kazi Mweka hazina wa halmashauri hiyo, Deus…