Radio Tadio

habari za Dodoma

May 26, 2021, 1:24 pm

TARURA wahakikisha ukarabati barabara Nzuguni Dodoma

Na; Yussuph Hans Wananchi wa Kata ya Nzunguni Jijini Dodoma wamehakikishiwa ukarabati wa Barabara za Kata hiyo kwa kiwango cha Lami kwa mwaka huu, kufuatia changamoto ya ubovu wa barabara inayowakabili kwa muda mrefu. Hayo yamebainishwa na Meneja wa Wakala…

May 26, 2021, 12:50 pm

Auawa na ndugu tuhuma ya wizi

Na; Thadey Tesha Mtu mmoja ameuawa na ndugu zake wa karibu Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wakimtuhumu kujihusisha na vitendo vya wizi. Akizungumza na waandishi wa habari hii leo kamanda wa Polisi Mkoani Dodoma SACP Gilles Muroto amemtaja marehemu kuwa ni…

May 25, 2021, 12:10 pm

Wakazi wa kata ya makulu walalamikia kukosa huduma ya barabara

Na; Ramla Shabani Wananchi wa Mtaa wa Njedengwa Magharibi Kata ya Makulu  jijini Dodoma wameiomba Serikali kuwajengea daraja pamoja na kuwakarabatia barabara za mtaa huo. Wakizungumza na taswira ya habari wananchi hao wamesema kuwa korongo linalopita mtaani hapo limekuwa likisababisha…

May 25, 2021, 11:30 am

Udanganyifu watokea maombi ya Ualimu

Na; Yussuph Hans Serikali imesema itachambua kwa kina maombi ya ajira kwa kada ya ualimu ili haki itendeke kufuatia kuibuka changamoto ya udanganyifu kwa baadhi ya Waombaji. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais…

May 24, 2021, 10:16 am

Wizi wapelekea wakazi wa Makulu kuishi bila amani

Na; Benjamin Jackson.   Wakazi wa kata ya Makulu Jijini Dodoma wamelalamikia eneo hilo kukumbwa na wimbi la wizi hali inayopelekea wananchi kukosa amani katika makazi yao. Wakizungumza na Dodoma fm wananchi hao  wamesema tatizo la wizi katika eneo hilo limekuwepo…

May 21, 2021, 10:21 am

Swaswa watakiwa kutoa ushirikiano kwa wakandarasi wa umeme

Na; Benard Filbert Wakazi wa mtaa wa Swaswa Kata ya Ipagala jijini Dodoma wametakiwa kutoa ushirikiano kwa wakandarasi wa umeme ambao wamekuwa wakiweka nguzo kwa ajili ya usambazaji umeme wa REA awamu ya tatu. Hayo yemesemwa na mwenyekiti wa mtaa…