Radio Tadio

HABARI ZA PANGANI

10 May 2021, 7:04 PM

MTAKUWWA Ubangaa waandaa eneo la Ujenzi wa Zahanati

Kamati ya MTAKUWWA ya Kijiji cha Ubangaa wilayani Pangani Mkoani Tanga kwa kushirikina na Serikali ya kijiji hicho inandaa eneo kwa ajili ya ujenzi wa zahanati. Wakizungumza na Pangani FM wakati wa zoezi la kufyeka eneo lililotengwa kwa ajili ya…

23 April 2021, 8:53 PM

Malipo ya fidia kwa Wananchi Barabara ya Tanga-Pangani.

Serikali imeidhinisha malipo ya fidia kwa Wananchi wanaopisha ujenzi wa Barabara ya Tanga-Pangani Saadan- Bagamoyo kwa kiwango cha lami. Katika mahojiano maalum Mbunge wa Jimbo la Pangani ambaye pia ni Waziri wa Maji wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh…

13 April 2021, 1:41 PM

Ujenzi Kituo cha Polisi Mivumoni

Kamishina wa Polisi Jamii Tanzania Mussa Ali Mussa  amefanya ziara wilayani Pangani mkoani Tanga na kuweka jiwe la msingi katika kituo kidogo cha Polisi kilichopo kijiji cha Mivumonini wilayani humo. Akizungumza wakati wa tukio la uwekaji jiwe kwa ajili ya…

6 April 2021, 6:51 PM

Kumuenzi Magufuli kwa kuandikisha Wanafunzi shule.

Wananchi Wilayani Pangani Mkoani Tanga wametakiwa kumuenzi Hayati Dkt Magufuli kwa kuweka Malengo ya kuongeza idadi ya Uandikishaji wa wanafunzi na kuongeza ufaulu kutokana na Sera ya Elimu Bila Malipo iliyoachwa na muasisi huyo. Sikiliza hapa taarifa iliyoadaliwa na mwandishi…

15 March 2021, 12:46 PM

Serikali yaagiza kuzibwa kwa shimo lililoua Pangani.

Serikali Wilayani Pangani Mkoani Tanga imetoa maelekezo kwa uongozi wa kijiji cha Madanga Wilayani humo kuanza mchakato wa kziba shimo kubwa lililopo kijijini hapo linalofahamika kama ‘shimo la mreno’. Wenyeji wa kijiji hicho wamedai kuwa shimo hilo limekuwepo tangu kipindi…

11 March 2021, 9:24 AM

TANESCO yaomba radhi kukatika kwa Umeme Pangani.

Shirika la Umeme Tanzania Wilayani Pangani Mkoani Tanga limewaomba radhi wateja wake kipindi hiki Matengenezo ya Miundombinu yakiendelea kwenye maeneo mbalimbali Wilayani humo. Akizungumza na PANGANI FM ¬†Meneja wa TANESCO Wilayani Pangani Bwana Saidi Shabani Muhando amesema kuanzia Mwezi February…

10 March 2021, 7:27 PM

Makamu wa Rais kufanya Ziara Wilayani Pangani.

Mkuu wa wilaya ya Pangani Bi Zainab Abdallah ametangaza ujio wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan Wilayani Pangani. Akizungumza na PANGANI FM leo Bi Zainab amesema kuwa Makamu wa Rais anatarajiwa kuwasili…