Dodoma FM

Maji

15 April 2024, 9:34 pm

Msukumo mkubwa wa maji wachangia kupasuka kwa mabomba

Duwasa imeendelea kuhakikisha inakabiliana na changamoto ya upotevu wa maji ambao husababishwa na kupasuka kwa miundombinu ya Mabomba ya maji kutokana na presha kubwa ya maji. Na Mindi Joseph. Msukumo mkubwa wa maji umetajwa kuchangia Kupasuka kwa miundombinu ya mabomba…

4 April 2024, 5:27 pm

Nala bado yakabiliwa na changamoto ya maji

Serikali kupitia Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dodoma (DUWASA) imewekeza kiasi cha shilingi bilioni 9.14 ikiwa ni hatua za haraka na muda mfupi zilizofanyika za kutatua changamoto ya maji pamoja na uchimbaji na uendelezaji…

15 February 2024, 4:27 pm

Wajawazito Handali walazimika kwenda leba na maji

Pamoja na hatua hizo za kwenda na maji kituo cha afya lakini bado wanakutana na shuruba nyingine namna ya kupata maji hayo bombani. Na Victor Chigwada.Pamoja na umuhimu wa matumizi ya maji katika sehemu za kutolea huduma za afya imekuwa…

25 October 2023, 2:02 pm

Ufahamu uhuru wa matumizi ya kipato

Baadhi ya jamii bado zinaamini mila na desturi kamdamizi kuwa mwanaume ni kilakitu katika familia . Na Mariam Matundu. Je uhuru wa matumizi ya kipato ninini? Je nini kinapelekea baadhi ya wanaume kuwanyima wake au wenza wao uhuru wa kutumia…

15 August 2023, 3:42 pm

Baba atelekeza familia na kwenda kuanzisha familia nyingine

Mama huyo anadai kuishi maisha magumu kwani  anatumia muda mwingi kutafuta kipato cha kumuwezesha yeye pamoja na watoto wake kupata mahitaji muhimu ikiwemo chakula. Na Leonard Mwacha. Katika hali ya kushangaza baba mmoja mkazi wa Jijini Dodoma ameitelekeza familia yake…

23 May 2023, 4:56 pm

Wanandoa watakiwa kuimarisha upendo kuepusha ndoa nyingi kuvunjika

Wazazi wametakiwa kuimarisha upendo na kuepuka kuvunja ndoa ambazo huacha watoto wakitaabika bila malezi huku wengine wakibaki kuwa watoto wa mitaani. Na Bernad Magawa. Ili kuhakikisha kuwa watoto katika familia wanalelewa na wazazi wote wawili, Wanandoa wameshauriwa kuimarisha upendo kati…

20 March 2023, 3:35 pm

Ushindani katika ndoa chanzo wanaume kutowajibika

Kukosekana kwa upendo na uaminifu limetajwa kuwa chanzo kikubwa Cha wanaume kutowajibika katika malezi na matunzo ya familia zao. Bernadetha Mwakilabi. Tukiwa katika mwezi wa wanawake kukosekana kwa upendo na uaminifu limetajwa kuwa chanzo kikubwa Cha wanaume kutowajibika katika malezi…