Dodoma FM

Uncategorized

27 September 2023, 2:34 pm

Serikali yaombwa kuendelea kutoa elimu juu ya kukabiliana na majanga

Wataalam wamekuwa wakishauri wafanyabiashara, wananchi kufundishwa kukabiliana na majanga ya moto ikiwemo Kuepuka makazi holela, kuhimiza miundombinu ya kisasa pamoja utekelezaji wa sheria upewe kipaumbele. Katende Kandole. Baadhi ya wakazi wa jiji la Dodoma wameiomba serikali kuendelea kutoa elimu kwa jamii…

7 August 2023, 5:29 pm

Vijana waomba utaratibu mzuri upatikanaji wa fursa

Tarehe 12 Agost ni maadhimisho ya siku ya vijana duniani ambapo pia huadhimishwa kwa kufanya makongamano mbalimbali yenye lengo la kujadili fursa na changamoto zinazowakabili vijana katika maeneo yao. Na Thadei Tesha. Baadhi ya vijana jijini Dodoma wameiomba serikali kuweka…

6 June 2023, 6:11 pm

Jamii yaomba elimu utambuzi bidhaa zilizothibitishwa na TBS

Na Thadei Tesha. Baadhi ya wananchi pamoja na wafanyabiashara jijini Dodoma wameiomba serikali pamoja na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuendelea kutoa elimu kwa jamii juu ya umuhimu wa kutambua bidhaa kama imethibitishwa na TBS. Dodoma Tv imefanya mahojiano na…

16 February 2023, 2:44 pm

Mhe. Gondwe aagiza Bahi kuongeza Mapato

Mkuu wa wilaya ya Bahi Mheshimiwa Godwin Gongwe ameiagiza halmashauri ya wilaya ya Bahi kuhakikisha inabuni, kusimamia na kuongeza vyanzo vya mapato ili kutekeleza kikamilifu agizo la Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania la kila wilaya kuhakikisha inakusanya mapato…

4 July 2022, 1:15 pm

Wauguzi na wakunga waaswa kuepuka kupokea rushwa

Na; Benard Filbert. Wauguzi na wakunga wameaswa kuepuka kupokea rushwa katika maeneo yao ya kazi na kuwahudumia wagonjwa kwa uaminifu ili kulinda na kutunza heshima ya taaluma hiyo. Hayo yameelezwa na Jane Mazigo mkuu wa idara ya usajili na maadili…