Dodoma FM

Recent posts

26 March 2024, 6:42 pm

Waandishi wa habari watakiwa kutoa taarifa sahihi

Mlipuko wa magonjwa unapotokea waandishi wa habari ni nyenzo muhimu ya kutoa taarifa sahihi. Na Mariam Matundu.Waandishi wa habari wametakiwa kuhakikisha usahihi wa Taarifa ili kuepusha taharuki kwa jamii wakati wa magonjwa ya Mlipuko. Hayo yamebainisha Richard Msittu Mkuu wa…

20 March 2024, 7:04 pm

Wananchi waelezea mafanikio ya miaka mitatu ya Rais samia

Ni takribani miaka mitatu imepita tangu kuapishwa kwa rais wa wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh samia Suluh Hasan Tareh 19 machi mwaka 2021. Na Thadei Tesha. Wananchi jijini Dodoma wamelezea mafanikio ya miaka mitatu ya  uongozi wa serikali…

20 March 2024, 6:18 pm

Adha ya maji yendelea kuwa kero kwa baadhi ya Vitongoji Chiwona

Hayo yamefahamika baada ya Taswira ya habari kushuhudia adha hiyo ambayo imechangia wananchi kuendelea kutumia maji yasio safi na salama. Na Seleman Kodima.Adha ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa baadhi ya Vitongoji vya kijiji cha Chiwona imesababisha wananchi…

20 March 2024, 5:42 pm

Wawekezaji wakaribishwa Idifu kuanzisha miradi mbalimbali

Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imekuwa na mpango wa matumizi bora ya ardhi ambapo mpango huo umekuwa ukiratibiwa chini ya mradi wa uwezeshaji usalama wa milki za ardhi unao simamiwa na Serikali kwa kushirikiana na Bank ya Daunia. Na Victor…

20 March 2024, 4:50 pm

Bado tunatazama Ushiriki wa Vijana kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa

Katika kufahamu hilo ,Taswira ya habari imezungumza na Charles Ruben Afisa Miradi wa Taasisi ya DOYODO anaelezea ushiriki wa Vijana katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Na Mwandishi wetu. Mwaka 2024 Tanzania tutashuhudia Uchaguzi wa Serikali za mitaa ambapo Vijana…

19 March 2024, 6:57 pm

Ubovu wa miundombinu Ndachi wachangia kupanda kwa gharama za usafiri

Kutokana na mvua zinazo endelea kunyesha Jijini Dodoma maeneo mengi yenye barabara za kawaida yamekuwa yakiathirika kwa kiasi kikubwa na hata kukwamisha baadhi ya shughuli za maendeleo. Na Mindi Joseph. Ubovu wa miundombinu ya barabara kwa wananchi wa Mtaa wa…

18 March 2024, 5:34 pm

DUWASA yaendelea kutekeleza azma ya kuifanya Dodoma ya kijani

Utekelezaji wa zoezi hilo unabeba dhana ya kuhakikisha maeneo ya vyanzo vya maji yanakuwa salama katika athari za mabadiliko ya tabianchi. Na Mariam Kasawa. Mkuu wa wilaya ya Dodoma Alhaji Jabiri Shekimweri  ameipongeza Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa…

DODOMA FM

Is a local radio station with community content, has grown to be one of the leading radio stations in central region.

SERVICES WE OFFER TO OUR CLIENTS ARE

• Live Interviews , Recorded Interviews , Adverts ,Mentions ,Outside broadcasting , Digital marketing ,.Billboards

 COVERAGE

Dodoma Region in all its 7 districts  It also reaches Tanga-Kilindi,Morogoro-Gairo,kihonda,Manyara-Kiteto,Singida-Manyoni, Iringa -Mtera and Tabora rural.

AREA OF FOCUS

Dodoma FM differentiate itself from other media by preparing programs which directly affect the lives of central region communities. Our main focus are:-

  • Ensure that people of central region have access to Improved nutrition
  • Ensure health and wellbeing for all
  • Quality education
  • Gender equality
  • Access to safe water and sanitation
  • Decent work and economic growth
  • Climate change
  • Violence against children and women
  • hunger