Recent posts
27 March 2024, 5:38 pm
Elimu ya utunzaji Mazingira yawanufaisha wanafunzi
Wadau wa mazingira wanasema vijana wanapaswa kutambua kwamba jukumu la utunzaji wa mazingira ni la kila mmoja katika jamii hivyo ni vema washiriki katika shughuli za utunzaji wa mazingira. Na Mariam Kasawa. Elimu ya utunzaji mazingira na kilimo inatajwa kuwanufaisha…
27 March 2024, 5:10 pm
Uzalishaji wa maji Nzuguni waongeza asilimia 11.7 ya maji
Mradi wa Maji Nzuguni umegharimu bilion 4.3 lengo likiwa ni kuboresha huduma ya usambazaji maji katika kata na jiji la Dodoma kwa ujumla. Na Mindi Joseph.Kukamilika kwa Mradi wa awamu ya kwanza wa Visima 5 vya maji Eneo la nzuguni…
27 March 2024, 3:51 pm
Wanawake Mnadani wazungumzia miaka mitatu ya Rais Samia
Itakumbukwa kuwa Rais dkt Samia Suluhu Hassan ndie Rais wa kwanza mwanamke hapa nchini Tanzania na Afrika Mashariki ambapo aliapishwa rasmi march 19 mwaka 2021. Na Mariam Matundu.Ikiwa ni miaka mitatu tangu Rais Samia aingie madarakani maendeleo katika sekta mbalimbali…
26 March 2024, 8:11 pm
Wasomi watakiwa kuwa mfano upandaji wa miti
Hapa nchini kampeni nyingi za upandaji miti zimekuwa zikianzishwa na kutekezwa na wadau mbalimbali pamoja na wadau wa mazingira ili kuunga mkono juhudu za raisi wa Tanzania mama Samia Suluhu za kutaka mazingira Bora kwa wananchi. Na Mariam Kasawa.Wasomi na…
26 March 2024, 7:42 pm
Wanchi Ndachi wakumbwa na sintofahamu Mgogoro wa Ardhi
Mtaa wa Ndachi umekuwa ukiandamwa na migogoro ya ardhi kwa muda mrefu sasa ambapo kwa mujibu wa mwenyekiti wa Mtaa huo migogoro hiyo bado ina sintofahamu. Na Mindi Joseph.Wananchi wa Mtaa wa Ndachi kata ya Mnadani wamesema hawajui hatima yao…
26 March 2024, 7:13 pm
Utupaji wa taka ngumu katika mifumo ya maji taka wachangia kuziba kwa mifumo
Mhandishi Aron Joseph akiwa sambamba na wataalamu kutoka Mamlaka hiyo na Viongozi wa kata hiyo kufanya Ziara katika mtaa huo ambao unakabiliwa na changamoto ya kuziba kwa mifumo ya maji taka . Na Seleman Kodima.Utupaji taka ovyo katika mifumo ya…
26 March 2024, 6:42 pm
Waandishi wa habari watakiwa kutoa taarifa sahihi
Mlipuko wa magonjwa unapotokea waandishi wa habari ni nyenzo muhimu ya kutoa taarifa sahihi. Na Mariam Matundu.Waandishi wa habari wametakiwa kuhakikisha usahihi wa Taarifa ili kuepusha taharuki kwa jamii wakati wa magonjwa ya Mlipuko. Hayo yamebainisha Richard Msittu Mkuu wa…
20 March 2024, 7:04 pm
Wananchi waelezea mafanikio ya miaka mitatu ya Rais samia
Ni takribani miaka mitatu imepita tangu kuapishwa kwa rais wa wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh samia Suluh Hasan Tareh 19 machi mwaka 2021. Na Thadei Tesha. Wananchi jijini Dodoma wamelezea mafanikio ya miaka mitatu ya uongozi wa serikali…
20 March 2024, 6:18 pm
Adha ya maji yendelea kuwa kero kwa baadhi ya Vitongoji Chiwona
Hayo yamefahamika baada ya Taswira ya habari kushuhudia adha hiyo ambayo imechangia wananchi kuendelea kutumia maji yasio safi na salama. Na Seleman Kodima.Adha ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa baadhi ya Vitongoji vya kijiji cha Chiwona imesababisha wananchi…
20 March 2024, 5:42 pm
Wawekezaji wakaribishwa Idifu kuanzisha miradi mbalimbali
Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino imekuwa na mpango wa matumizi bora ya ardhi ambapo mpango huo umekuwa ukiratibiwa chini ya mradi wa uwezeshaji usalama wa milki za ardhi unao simamiwa na Serikali kwa kushirikiana na Bank ya Daunia. Na Victor…