Dodoma FM

Bungeni

23 June 2021, 11:52 am

Serikali inakamilisha mkakati wa huduma ya mazoezi tiba nchini

Na; Yussuph Hans Serikali imesema inakamilisha mpango mkakati wa kutoa huduma ya mazoezi tiba nchini, kufuatia kuwepo kwa ongezeko la wagonjwa wanaohitaji huduma hiyo ikiwemo walio na ugonjwa wa kupooza. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi…

26 May 2021, 1:07 pm

Serikali kuboresha Mifumo ya upatikanaji wa Pembejeo

Na; Yussuph Hans Serikali Nchini inaendelea kuboresha Mifumo ya upatikanaji wa Pembejeo ikiwemo Mbegu, Mbolea na Viuatilifu, kuratibu katika Mikoa pamoja na kuweka mazingira wezeshi kwa ajili ya makampuni kuuza maeneo mbalimbali. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Naibu…

25 May 2021, 11:30 am

Udanganyifu watokea maombi ya Ualimu

Na; Yussuph Hans Serikali imesema itachambua kwa kina maombi ya ajira kwa kada ya ualimu ili haki itendeke kufuatia kuibuka changamoto ya udanganyifu kwa baadhi ya Waombaji. Hayo yamebainishwa leo Bungeni Jijini Dodoma na Waziri wa nchi Ofisi ya Rais…

29 April 2021, 6:35 am

Serikali kutunga sheria uvunaji wa viungo

Na;Yussuph Hans. Naibu Waziri wa Afya, Godwin Mollel, amesema kutokana na kuongezeka kwa mahitaji ya upandikizaji wa viungo Nchini, Serikali imeandaa Muswada wa kutunga Sheria itakayoongoza taratibu za uvunaji, utunzaji na upandikizaji wa viungo Ameeleza hayo bungeni jijini Dodoma wakati akimjibu Mbunge…

1 April 2021, 7:48 am

Wabunge wateule wala kiapo bungeni

Na; Mariam Kasawa Spika wa Bunge Job Ndugai amewaapisha wabunge watatu wa kuteuliwa na Rais leo Alhamisi Aprili mosi, 2021 bungeni mjini Dodoma. Walioapishwa ni Balozi Liberata Mulamula, Balozi Bashiru Ally na Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk walioteuliwa na Rais Samia…

31 March 2021, 9:17 am

Serikali kuwatambua watoa mikopo ya kilimo

Na; Mariam Matundu Kutokana na changamoto ya baadhi ya wakulima kushindwa kupata mikopo ya pembejeo  kwasababu ya  riba kubwa na masharti mengine yanayotolewa na watoa mikopo, serikali kupitia wizara ya kilimo imeanza kuwatambua watoa huduma wote wanaotoa mikopo ya kilimo.…