Dodoma FM

elimu

June 7, 2021, 2:20 pm

Serikali yakiri kutoa Elimu bila Ada na sio Elimu bure

Na; Yussuph Hans. Serikali imesema inatoa Elimu bila Ada sio Elimu bure hivyo Wazazi washiriki kutoa michango kwa ajili ya maendeleo ya Shule. Hayo yamebainishwa hii leo Bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za…

May 27, 2021, 2:04 pm

Elimu ya ufundi ni kichocheo bora cha maendeleo endelevu Nchini.

Na;Mindi Joseph. Serikali imesema maendeleo ya viwanda na usatawi wa jamii hayawezi kuleta tija pasipo kuwa na usimamizi bora kwenye elimu ya ufundi kama kichocheo endelevu cha ukuaji wa uchumi nchini Tanzania. Akizungumza katika Ufunguzi kongamano la wadau wa elimu…

May 12, 2021, 1:00 pm

Wazazi kata ya makanda wataka matokeo chanya kwa wanafunzi

Na; Victor Chigwada Kutokana na matokeo yasiyokuwa ya kuridhisha kwa wanafunzi wa shule za sekondari katika Kata ya Makanda wazazi wametaja kilichosababisha hali hiyo ni kuwepo kwa kambi za kitarafa. Baadhi ya wazazi hao wakizungumza na taswira ya habari wamesema…

May 7, 2021, 11:39 am

Wakazi wa lugala watanufaika na elimu ya watu wazima

Na; Alfred Bulahya. Wakazi wa mtaa wa Lugala kata ya Mbalawala  watanufaika na elimu ya watu wazima  baada ya uongozi  wa eneo hilo pamoja na wananchi kukubaliana kuanzisha  darasa ili kuwasaidia wananchi ambao hawakubahatika kusoma. Akizungumza na Taswira ya habari…