Dodoma FM

jamii

6 May 2021, 1:56 pm

Jamii imetakiwa kuwasaidia watu wenye mahitaji maalum.

Na; Benard Filbert. Jamii inaaswa kutoa msaada kwa watu wenye mahitaji maalumu ikiwepo watoto wanaoishi katika mazingira magumu hali itakayosaidia kukidhi mahitaji yao ya msingi. Wito huo umetolewa na mratibu wa shirika la Charity Vision Tanzania Mariam Mbijima mara baada…

12 April 2021, 9:13 am

Wanawake na nafasi za juu katika uongozi

Na; Mariam Kasawa. Tanzania ni miongoni mwa Nchi ambayo imekuwa ikiwapa kipaumbele wanawake hasa katika nyaja ya uongozi. Akizungumza leo katika kipindi cha Dodoma live Bi. Gloria Mafole wakili mchambuzi wa sera kutoka katika Jumuiya ya kikristo Tanzania amsema wanawake…

2 April 2021, 8:55 am

Mila na desturi kiini cha ukatili kwa jamii.

Na; Alfred Bulahya. Wajumbe wa kamati za ulinzi wa mwanamke na mtoto (MTAKUWA) waliopo wilayani Chamwino  Jijini Dodoma, wametakiwa kuhakikisha wanafanya kazi kwa bidii kwa kuibua vitendo vya ukatili na kupeleka kesi hizo kwenye mamalaka husika ili ziweze kupatiwa ufumbuzi…

8 February 2021, 1:43 pm

CDF lasaidia kupunguza mimba za utotoni Mpwapwa

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Zaidi ya wanafunzi elfu moja kutoka shule 8 za Sekondari na 12 za Msingi Wilayani Mpwapwa, wamefanikiwa kupata mafunzo ya kuwajengea mazingira salama wawapo shuleni toka mwaka 2017. Akizungumza na Taswira ya habari meneja miradi kutoka Shirika…

5 February 2021, 4:40 pm

TASAF yazidi kunufaisha kaya masikini

Na,Mindi Joseph, Dodoma. Kaya milion moja na laki mbili zinatarajiwa kushiriki katika miradi ya kuinua uchumi wa kaya kati ya kaya milion 1 laki nne na nusu zilizopo katika kipindi cha pili cha awamu ya 3, ya utekelezaji wa mpango…

3 December 2020, 3:18 pm

Jamii yaaswa kuacha unyanyapaa kwa watu wenye ulemavu

Na Alfred Bulahya, Dodoma. Tume ya haki za binadamu na utawala bora (THBUB) imewataka wananchi kuachana na mila,desturi pamoja na mitazamo potofu ambayo huwafanya watu wenye ulemavu kuvunjika moyo na kujiona hawana mchango kwa jamii.Hayo yamebainishwa leo jijini Dodoma na…