Dodoma FM

Mawasiliano

2 February 2021, 1:37 pm

Wizara yakabidhi mikataba minne kwa wakandarasi

Na,Mariam Matundu, Dodoma. Wizara ya mawasiliano na teknolojia ya habari hii leo imekabidhi mikataba minne kwa wakandarasi wa ujenzi , upanuzi na uunganishaji wa mkongo wa Taifa wa mawasiliano na miundombinu ya anwari za makazi na postikodi. Akizungumza na waandishi…