Dodoma FM
utalii
19 June 2021, 1:19 pm
TANAPA yaja na mkakati wa kuongeza watalii wa ndani kupitia vyombo vya habari
Na;Mindi Joseph. Shirika la Hifadhi ya Taifa TANAPA limejipanga kuongeza idadi ya watalii wa ndani na nje ya nchi Katika miaka mitano ijayo kupitia Vyombo vya Habari kuhamasisha wananchi kufanya utalii wa ndani. Tanzania ni nchi ambayo imejaliwa kuwa na…
6 May 2021, 11:41 am
Wananchi wametakiwa kuwa na utamaduni wa kufanya utalii wa ndani.
Na; Mariam Kasawa Wananchi wametakiwa kuwa na utaratibu wa kufanya utalii wa ndani katika mbuga mbalimbali ili kufahamu vivutio vingi vya utalii vinavyo patikana hapa Nchini. Ushauri huo umetolewa na wawakilishi kutoka hifadhi ya Taifa Tanzania TANAPA wakati wakizungumza na…