Huheso FM

Habari Za Kitaifa

April 7, 2024, 4:30 pm

Cherehani apongezwa kuwezesha mawasiliano, atoa ahadi ya maji

“Mpaka sasa jimbo la Ushetu tunaendelea kulifungua kwa miradi mbalimbali ikiwemo ya barabara na madaraja kwenye barabara zinazohitaji madaraja hivyo serikali chini ya mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Ushetu tunamshukuru kwa kuendelea kutupatia fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi…

March 18, 2024, 4:06 pm

Waziri Mavunde afungua kituo cha mafunzo ya madini Kahama

Mavunde amesisitiza kuwa katika eneo la Buzwagi sambamba na kituo hicho cha Barrick Academy wananchi wazawa na watanzania kwa ujumla lazima wanufaike nalo na serikali inaendelea kuwakaribisha wawekezaji nchini kuwekeza hali itakayosaidia kuwakuza wachimbaji wadogo kwa kupatiwa mafunzo mbalimbali. Na…

March 8, 2024, 3:58 pm

Dkt. Mzava awataka walimu kutoa malezi bora kwa wanafunzi shuleni

Walimu wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwalea wanafunzi katika mienendo mizuri ili kupambana na mmomonyoko wa maadili unaoendelea kushamili nchini. Na Neema Nkumbi-Huheso FM Wito huo umetolewa na mbunge wa viti maalum mkoani Shinyanga Dkt. Christina Mzava alipotembelea Shule ya…

March 4, 2024, 3:06 pm

Afisa mipango miji Kahama asimamishwa kazi

“Huyu afisa alikuwa mpenzi wake na huyu mama kwahiyo penzi lilivyokufa huyu mama alikuwa anashindwa kudai haki yake ya kiwanja” Na Paschal Malulu-Huheso fm Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme amewasimamisha watumishi wanne wa halmashauri ya Manispaa ya Kahama…