Huheso FM

Uncategorized

September 22, 2021, 3:18 pm

Jeshi la Zimamoto latumia gari moja kuhudumia halmashauri tatu

Jeshi la Zimamoto na uokoaji wilayani Kahama mkoani Shinyanga limesema linakabiliwa na uhaba wa vifaa vya uokozi ikiwemo Magari. Hayo yamesemwa na mkuu wa jeshi hilo Hanafi Mkilindi wakati akizungumza na Huheso fm redio kuhusu mikakati ambayo wamekuwa wakiifanya katika…

September 20, 2021, 3:16 pm

Vikundi vyapewa elimu ya kupinga ukatili wa kijinsia.

Wajumbe wa mradi wa mwanamke amka unaolenga kupinga ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto waliopo mashuleni Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wametakiwa kuwa mabalozi wazuri katika kufikisha ujumbe wa kupinga ukatili wa kijinsia kwenye vikundi vyao. Hayo yamesemwa na…

July 26, 2021, 6:46 pm

Baiskeli 40 kusaidia kuzuia maambukizi mapya ya Ukimwi

Mabinti wenye umri kati ya miaka 15-24 wa halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wamepatiwa Baiskeli zaidi ya 36 kwa ajili ya uelimishaji rika juu ya kuzuia maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi. Baiskeli hizo zimetolewa na shirika la Huheso Foundation…

July 19, 2021, 7:42 pm

DC Kiswaga: Maonesho ya kibiashara Kahama kuwa ya mfano

Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Festo kiswaga amewaomba wananchi wilayani humo kujitokeza katika maonesho ya Ujasiliamali na wafanybiashara wakubwa na wadogo katika viwanja vya halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani humo. Akizungumza na wandishi wa Habari ofisini kwake…

July 1, 2021, 9:54 am

Mwalimu wa tuisheni afungwa maisha jela Kahama

Mahakama ya wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga jana June 30, 2021 imemhukumu kifungo cha maisha jela, Baraka Andrea (25) mkazi wa Kata ya Mhongolo ambaye alikuwa mwalimu wa Tuisheni kwa kosa la kumlawiti mwanafunzi wake wa miaka nane. Akisoma hukumu…

May 25, 2021, 7:25 pm

Watakaofichua taarifa za ukatili wa kijinsia kulindwa

Imeelezwa vitendo vya rushwa katika jamii imekuwa miongoni mwa sababu inayochangia vitendo vya ukatili wa kijinsia kuendelea kutokea katika jamii na kupelekea waathirika wa matukio hayo kukosa haki. Mratibu Taifa wa mtandao wa Utetezi wa haki za Binadam- THRDC Onesmo…

May 18, 2021, 6:28 pm

Wafanyabiashara wamlalamikia Mkurugenzi Manispaa ya Kahama

Wafanyabiashara wanaozunguka eneo la kituo cha mabasi katika Kata ya Majengo iliyopo Manispaa ya Kahama Mkoani Shinyanga wamemlalamikia Mkurugenzi wa Manispaa hiyo kuyarudisha mabasi ya abiria katika kituo cha mabasi  iliyokuwa ikikarabatiwa ya CDT. Wakizungumza na waandishi wa habari wafanyabiashara hao…

May 18, 2021, 5:54 pm

Wananchi wamlalamikia mwenyekiti wa mtaa wao

Wananchi wa Mtaa wa Bulima Kata ya Seeke Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wamemlalamikia mwenyekiti wa mtaa huo kwa kushindwa kutekeleza majukumu yake kwa wananchi hivyo wamemtaka kujiuzulu mara moja. Wakizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika mtaani hapo wananchi hao…