Huheso FM

BIMA YA CHF

May 7, 2021, 1:50 pm

Wazee Wilayani Kahama watakiwa kujiwekea akiba ya pesa

Wazee wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kujiwekea akiba ya pesa ili bima inapoisha muda wake waweze kujilipia wao wenyewe pasipo kusubiri kila mwaka kulipiwa na wadau mbalimbali. Kauli hiyo imetolewa na Mustahiki Meya wa Manispaa ya Kahama, Yahaya Bundala na…