Huheso FM
NAFAKA
April 30, 2021, 11:13 am
Wakulima wa mazao ya nafaka manispaa ya Kahama watakiwa kuvuna mazao yaliokomaa
Wakulima wa mazao ya nafaka katika halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuvuna mazao yao yakiwa yamekomaa na kukauka ipasavyo. Kauli hiyo imetolewa na Afisa Kilimo wa Manispaa ya Kahama Samson Sumuni ambaye amesema wakulima wanatakiwa kuhakikisha mazao…