Jamii FM

Recent posts

10 April 2024, 23:17 pm

RPC Mtwara: Zingatieni sheria za usalama barabarani

kKuvaa kofia ngumu kwa mwendesha wa pikiki ni suala la kisheria hivyo ni wajibu kwa maafisa usafirishaji (Bodaboda) wote mkoani Mtwara na abiria wake kuzingatia sheria hiyo. Na Musa Mtepa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara Kamishna Mwandamizi…

10 April 2024, 13:52 pm

Waislam watakiwa kuishi maisha yanayompendeza Mwenyezi Mungu

Kumewa na kutozingatia matukufu na makatazo ya Mwenyezimungu ambayo huenda ikawa sababu ya kuwepo kwa ugumu wa Maisha kutokana na Binadamu kutozingatia maagizo yake Na Musa Mtepa Waislam wametakiwa kuendelea kuishi Katika Maisha  walivyoishi kwenye  Mwezi mtukufu wa Radhamani ili…

6 April 2024, 20:58 pm

RC Kanali Sawala aitaka jamii ya Mtwara kuliombea Amani Taifa

 Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal Patrick Sawala akitoa neno la shukrani kwa hadhira iliyojitokeza kufuturu hapo jana(Picha na Mtwara rs) Binadamu hakuna aliyekamilika  mmoja anaweza kumkosea mwingine kwa bahati mbaya bila kutambua hivyo tuendelee kusameheana Na Musa Mtepa Mkuu…

1 April 2024, 18:19 pm

Wazazi watakiwa kutambua umuhimu wa elimu kwa mtoto wa kike

Imeelezwa kuwa chanzo kikubwa kinachosababisha watoto wa kike kutokufikia malengo  yao  ni wazazi kutotambua umuhimu wa elimu. Na Musa Mtepa Wazazi wametakiwa kutambua umuhimu wa elimu kwa watoto wa kike  ili waweze kukabiliana na changamoto  za maisha pamoja na kuwa  majasiri…

1 April 2024, 15:19 pm

Wanaume kikwazo kwa wanawake kuwa viongozi – Makala

“Changamoto hizo ni kwa baadhi ya wanaume wenye tabia ya kuwakataza wake zao kushiriki masuala ya uongozi” Na Musa Mtepa Ni kipindi kinachoelezea changamoto zinazosababisha wanawake kutoshiriki kwa asilimia kubwa kwenye nafasi za kisiasa na uongozi . Kupitia kipindi hii…

29 March 2024, 17:46 pm

TFS yaombwa kutoa elimu ya huduma za misitu

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wameombwa  kutembelea vijiji na kutoa Elimu kwa Wananchi  ili wapate uelewa juu ya athari zinazo weza kujitokeza kutokana na  matumizi mabaya  ya Mazao ya Misitu Na  Musa  Mtepa Akizungumza na Jamii Fm Radio…

27 March 2024, 17:00 pm

Mila, desturi  kikwazo  wanawake kushiriki nafasi za uongozi Mtwara

Mila na desturi potofu zimekuwa  zikiwarudisha nyuma wanawake wengi wilayani Mtwara kushiriki katika nafasi za uongozi na uamuzi na kupelekea kuwa wachache katika ushiriki kwenye vikao vya uamuzi. Na Musa Mtepa Imeelezwa kuwa mila na desturi  zinazofanyika katika jamii ndicho…

25 March 2024, 17:26 pm

TPA yaiomba serikali Bandari ya Mtwara kuunganishwa na Reli

Changamoto zinazoikabili Bandari ya Mtwara ni kutokuunganishwa na miundombinu ya Reli pamoja na Barabara ya Mtwara –Dar es Salaam kutokuwa vizuri kuwezesha Bandari hiyo kuunganishwa na miundombinu  hiyo. Na Musa Mtepa Naibu mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya usimamizi wa Bandari…

25 March 2024, 14:54 pm

Kamati ya Bunge yaipongeza Serikali umiliki wa Gesi Asilia

Kamati ya kudumu ya Bunge ya uwekezaji wa mitaji ya umma imeipongeza serikali kwa kuchukua hatua ya kuwasomesha vijana wa kitanzania nje ya nchi ambao kwasasa ndio wanao simamia mitambo ya kuchakata na kuzalisha Gesi Asilia katika kjiji cha Madimba…

Vision and Mission

Who we are

JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.

Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.

Vision

The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.

Mission

The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.

Coverage:

Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.