Jamii FM

Recent posts

1 May 2023, 09:40 am

MAKALA – Uanzishwaji ngo’s na changamoto wanazokutana nazo

Na Musa Mtepa Ulemavu ni hali ya kuwa na hitilafu ya  kudumu mwilini au akilini inayomzuia mtu kutekeleza shughuli zilizo kawaida katika maisha jamii, Ulemavu unaweza kuwa katika Mwonekano au aina tofauti kama vile viungo vya mwili miguu, mikono, mgongo…

29 April 2023, 14:52 pm

MAKALA – Ladha ya chakula kilichopikwa kwa nishati ya Gesi

Na Musa Mtepa Kutokana na kukuwa kwa Technolojia  Binadamu ameweza kubadilika na kuendana na mazingira husika yanayoendana na mabadailiko hayo  ambayo sio tu kwa wakazi wa mijini bali hata katika maeneo ya Vijijini. Zamani ukienda vijijini na kukutana na Mzee…

28 April 2023, 11:18 am

Makala: Je wazee wana mchango gani wa kukemea kuporomoka kwa maadili

Na Msafiri Kipila Kutokana na mabadiriko makubwa kwenye nyaja ya elimu, technolojia na utamaduni, tunu ya vijana imekuwa tofauti na wazee, vijana wanaona kuishi kwa tamadauni za mababu ni kupitwa na wakati, Wazee wamezungumza na Jamii fm kwenye makala haya…

10 April 2023, 11:29 am

Fahamu matumizi ya gesi asilia nyumbani

Na Mussa Mtepa Uwepo wa mtandao wa gesi asilia kwaajili ya kupikia katika baadhi ya maeneo ya Mkoa wa Mtwara kumesaidia kumtunza mazingira na muda wa kukaa jikoni kwaajili ya maandalizi ya chakula. Katika makala haya utasikia wanufaika mbalimbali wa…

8 April 2023, 13:28 pm

Makala: Fahamu namna dawa za kulevya zinavyomuathiri mtoto tumboni

Mama mjamzito akiwa anatumia madawa ya kulevya zinamuathili mama mwenyewe na kwenye mfumo wake wa  uzazi na kupelekea mtoto kuathirika moja kwa moja kama ambavyo mama anaathirika kwa dawa hizo, na kupelekea mtoto kuwa na uraibu na wakati mwingine husababisha…

1 April 2023, 23:07 pm

Uzinduzi wa Mwenge na mafanikio ya kupambana na UKIMWI

Na Mussa Mtepa Waziri Mkuu wa Tanzania Mh. Kasim Majaliwa amewataka wakimbiza mwenge kitaifa kukagua na kujiridhisha na ubora wa Miradi ya Maendeleo itakayokaguliwa ili ilingane na thamani ya fedha zilizotolewa kwenye mradi husika na kuahidi kuzifanyia kazi taarifa zote…

30 March 2023, 18:29 pm

Waziri Mkuu Majaliwa kuwasha mwenge wa Uhuru Mkoani Mtwara

Mwenge wa Uhuru wa Tanzania unatarajiwa kuwashwa Mkoani Mtwara Ili kuanza kuzunguka Tanzania nzima kwaajili ya kujenga amani na mshikamano wa Taifa kwa mwaka 2023 Na Mussa Mtepa WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Mbio…

28 March 2023, 16:26 pm

Kipindi: Wanawake wahamasishwa kupima saratani ya mlango wa kizazi

Na Mussa Mtepa na Mwanahamisi Chikambu Saratani ya mlango wa kizazi ni ugonjwa ukuaji usio wa kawaida wa chembechembe hai na mgawanyo wa chembechembe hai usio wa kawaida ambapo havionekani kwa macho ya kawaida. Ugonjwa huu husambazwa kwa njia ya…

Vision and Mission

Who we are

JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.

Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.

Vision

The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.

Mission

The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.

Coverage:

Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.