Jamii FM

Recent posts

22 March 2023, 12:38 pm

Viongozi wa Dini wasisititwa kupiga vita tabia chafu

Watanzania hawana tabia ya ndoa za jinsia  moja hivyo tamaduni za nje zisiruhusiwe kuingia nchini  huku akiwataka jamii kupiga vita madangulo yote yanayofanya biashara ya ngono Na Musa Mtepa Jamii na Viongozi wa Dini wametakiwa kuwa mstari wa mbele  kupiga…

21 March 2023, 11:00 am

Kamati ya Amani Mkoa wa Mtwara, yamuombea Dua Rais Samia

utaratibu wa kumyombea tua na kumpongeza kiongozi wa nchi kwa miaka miwili ya Uongozi umekuwa ukifanyika kila mahali nchini Tanzania na Mkoani Mtwara wamemuombea Dua Mh. Rais Samia kwa Kazi nzuri anayoifanya Na Musa Mtepa Baraza la kiislamu Tanzania (BAKWATA)…

16 March 2023, 14:43 pm

Manispaa ya Mtwara yaanza kutoa chanjo ya Surua na Rubella

Na Gregory Millanzi. Kutokana na uwepo wa mlipuko wa ugonjwa wa Surua na Rubella wataalamu wa afya kupitia kitengo cha afya kinga Manispaa ya Mtwara-Mikindani wameendelea kutoa huduma ya chanjo ya Surua na Rubella kwa watoto wenye umri chini ya…

8 March 2023, 23:06 pm

Watoto 8,172 wapata ujauzizo mkoani Mtwara

Na Mohamed Massanga Watoto zaidi ya 8,172 wenye umri wa kuanzia miaka 10 hadi 19, wameripotiwa kupata Mimba Mkoani Mtwara kuanzia mwezi Januari hadi Disemba mwaka 2022. Akizungumza leo Machi 8, 2023 katika kilele cha maadhimisho ya siku ya Mwanamke…

7 March 2023, 00:12 am

Mhe. Waziri Ndalichako awasili Mtwara

Na Mohamed Massanga Waziri wa Nchi – Kazi Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amewasili mkoani Mtwara leo Machi 6, 2023 kwa ziara ya siku mbili kwa lengo la kukagua maendeleo ya maandalizi ya Uzinduzi wa Mwenge…

4 March 2023, 14:39 pm

Waandika barua ya kuacha shule kisa kiingereza

Na Musa Mtepa Wanafunzi wa kidato cha Kwanza kwa mwaka 2023 na vidato vya juu katika kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara Mikindani wamekua wakijitokeza na wazazi wao ofisi ya mkuu wa shule ya Sekondari Naliendele wakiwa na Barua ya…

1 March 2023, 16:30 pm

Mzazi mhimili wa mienendo kwa mtoto wa kike

Na Musa Mtepa Wazazi wametakiwa kuwa karibu na watoto wa kike kwa kufuatilia minendo na tabia zao ili kufikia malengo yaliyokusudiwa kama wazazi kwa Watoto wao. “Wazazi wanatakiwa kutoa chakula kwa ajili ya vijana ili waweze kupata Elimu iliyo bora…

18 February 2023, 19:09 pm

TPA yatakiwa kuitafutia masoko Bandari ya Mtwara

Na Musa Mtepa Naibu katibu mkuu wizara ujenzi na Uchukuzi Mhe. Dk Ally Possi ameitaka Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) kwa kushirikiana na Serikali kutafuta masoko ya kuiwezesha Bandari ya Mtwara kufanya kazi kikamilifu kutokana na uwekezaji uliopo hivi sasa…

18 February 2023, 17:41 pm

Wakuu wa Wilaya watakiwa kuhakiki ubora wa Miradi ya Mwenge

Na Musa Mtepa Wakuu wa wilaya na wataalamu ngazi zote wametakiwa kukagua nyaraka mbalimbali zinazotakiwa kuwepo kwenye miradi itakayopitiwa wakati wa mbio za mwenge mkoani mtwara kutekelezwa kwa ubora ili kuepuka ubadhirifu unaoweza kujitokeza. “Navielekeza vyombo vinavyotakiwa kuchukua hatua watakapo…

18 February 2023, 09:24 am

Makala: Uhamasishaji wa kutunza bahari kwa manufaa ya baadae

By Musa Mtepa Ni mkala inayohusisha tasisi ya kiraia ya jumuia ya umoja wa wavuvi wa Jodari nchini Tanzania maarufu TUNA ALLIANCE ambao walifanya utafiti wa mazingira ya Bahari ya Hindi kutoka visiwani Zanzibar hadi mikoa ya Lindi na Mtwara.…

Vision and Mission

Who we are

JAMII FM is a Community Radio that was launched in September 2016 for the purpose of giving community members particularly from rural areas access to information and means of communication. The programmes are basically focused on issues that directly or indirectly reflect community livelihood including people with special needs.

Through Jamii FM Radio, educational and developmental information is disseminated and exchanged; important local issues are aired; a free market place of ideas and opinions is opened up and people are given the opportunity to express themselves. Broad participation by community members is always encouraged in Program production.

Vision

The VISION of Jamii FM is to see the community of Lindi and Mtwara Regions particularly from rural areas have access to information and increased capacity to play a meaningful role for their own development through media.

Mission

The MISSION is to enable local communities to use media as a tool for enhancing participatory communication in order to achieve sustainable rural development.LocationJAMII FM Radio Station is located at Naliendele area 9km from Mtwara Town along Mtwara-Newala road. The station is opposite to Naliendele Agriculture Research Institute.

Coverage:

Jamii Fm Radio owns its 60 metres transmission tower that enables to reach the huge population from both Mtwara and Lindi regions, from Mtwara Municipal up to Nanyamba, Tandahimba, Newala, Nachingwea, Lindi and some parts along the boarder with neighbouring country-Mozambique.