Jamii FM

Jamiifm

6 April 2024, 20:58 pm

RC Kanali Sawala aitaka jamii ya Mtwara kuliombea Amani Taifa

 Mkuu wa mkoa wa Mtwara Kanal Patrick Sawala akitoa neno la shukrani kwa hadhira iliyojitokeza kufuturu hapo jana(Picha na Mtwara rs) Binadamu hakuna aliyekamilika  mmoja anaweza kumkosea mwingine kwa bahati mbaya bila kutambua hivyo tuendelee kusameheana Na Musa Mtepa Mkuu…

24 March 2021, 11:24 am

Njia yenye mawe yawakimbiza wanafunzi wa kijiji cha Imekuwa

Wananchi wa kitongoji cha Bohari pwani kilichopo kwenye kijiji cha Imekuwa halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani hapa wamekubaliana kuwaondoa watoto wote wenye umri wa kuanza shule katika kitongoji hicho na kuwapeleka kwenye kijiji cha Imekuwa ili waweze kupata elimu.…

23 March 2021, 18:05 pm

Naliendele Mtwara wamlilia Hayati Magufuli

Wananchi wa kata ya Naliendele Manispaa ya Mtwara Mikindani wametoa salamu za pole kwa Watanzani kufuatia  kifo cha Rais Dkt.John Pombe Magufuli kilichotangazwa usiku wa kuamkia leo Machi 18,2021. Wakizungumza kwa masikitiko makubwa wameeleza namna ambavyo watamkumbuka Rais Dkt.Magufuli kwa…

28 February 2021, 10:14 am

DANGOTE kupiga tafu miradi ya Milioni 648 Mtwara Vijijini

Kiwanda cha saruji DANGOTE Mtwara tarehe 26 Februari, 2021 kimeingia makubaliano maalum na halmashauri ya wilaya ya Mtwara kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo yenye thamani ya milioni 648 katika sekta ya elimu, afya, maji na michezo. Makubaliano hayo yamefanyika…