Recent posts
October 12, 2021, 11:01 am
KAHAMA:Makamu wa Rais wa CODEPATA atembelea ofisi ya Maendeleo ya jamii.
Makamu wa Rais wa Chama Cha Wataalamu wa Maendeleo ya Jamii Tanzania (CODEPATA) Dr. Regina Malima ametembelea ofisi za Idara ya Maendeleo ya Jamii Manispaa ya Kahama wilayani Kahama Mkoani Shinyanga. Katika ziara yake amefanikiwa kufanya kikao na Mratibu wa Kanda…
October 10, 2021, 1:53 pm
Kahama Jogging yajipanga kuwakabili Shinyanga Jogging Jumapili Oct 17.
Kuelekea Mashindano ya Michezo mbalimbali itakayofanyika uwanja wa Manispaa Kahama Jumapili ya October 17 club ya ya mazoezi ya Kahama Jogging imeanza maandalizi ya kuwakabili Club ya Michezo kutoka Shinyanga itwayo Shinyanga Jogging. Akioongea na Kahama Fm mara baada ya…
October 2, 2021, 2:34 pm
Kahama:wakurugenzi kusimamia mabaraza ya wazee.
Serikali mkoani Shinyanga imewaagiza wakurugenzi wa halmashauri zote sita kuhakikisha wanasimamia na kuyawezesha mabaraza ya wazee ili yaweze kufanya kazi kikamilifu pamoja na kutenga fedha kwa ajili ya utekelezaji wa shuguli za wazee. Agizo hilo limetolewa na mkuu wa mkoa…
September 28, 2021, 11:59 am
RUKWA:Mbunge awataka wanawake kutokuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasi…
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma, Jaqueline Msongozi amewataka wanawake nchini kutokubali kuwa na mahusiano ya kingono na wanaume ambao hawajafanyiwa tohara ili kuondoa hatari ya kupata magonjwa. Ameyasema hayo leo Septemba 27,2021 wakati Kamati ya Bunge ya Masuala…
September 28, 2021, 11:14 am
Kahama:Mwanamke aliyejulikana kwa jina la LIMI KULWA (30) ameuawa kwa kukatwa na…
Mwanamke aliyejulikana kwa jina la LIMI KULWA (30) mkazi wa kijiji cha Ilunga kata ya Iyenze wilayani Kahama amefariki dunia baada ya kukatwa na panga sehemu mbalimbali za mwili wake na mume wake, huku Chanzo cha mauaji hayo kikitajwa kuwa…
September 27, 2021, 6:50 pm
Kahama:Mbunge wa Kahama mjini achangia ujenzi wa shule ya Sekondari Malunga.
Mbunge wa jimbo la Kahama Mjini JUMANNE KISHIMBA amechangia millioni moja na laki moja kwa ajili ya kukunua matofali ya kukamilisha ujenzi wa sekondari ya Kata ya Malunga wilayani Kahama Mkoani Shinyanga iliyoanza kujengwa hivi karibuni. Akizungumza katika ziara yake…
September 27, 2021, 3:53 pm
SHINYANGA: Fisi aua mtoto wa miaka 3 wakati akicheza na wenzake.
Mtoto aliyejulikana kwa jina la Raphael Juma Dotto mwenye umri wa miaka mitatu amefariki dunia baada ya kushambuliwa na mnyama Fisi wakati akicheza nyumba ya jirani na watoto wenzake katika mtaa wa Majengo Mapya kata ya Kitangili Manispaa ya Shinyanga.…
September 20, 2021, 4:30 pm
KAHAMA:Wananchi wa Kata ya Malunga waanza ujenzi wa Shule ya Sekondari.
Wananchi wa Kata ya Malunga Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wameanza zoezi la ujenzi wa shule ya Sekondari Malunga ili kusaidia wanafunzi kuondokana na changamoto ya kutembea umbali mrefu. Wakizungumza na Kahama fm baadhi ya wananchi hao wamesema baada ya…
September 17, 2021, 3:49 pm
SERIKALI:Wafanyabiashara marufuku kuuza majokofu na viyoyozi vya Mtumba.
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Seleman Jafo amewataka wafanyabiashara kuacha kuuza Majokofu na Viyoyozi vya mtumba kwani vimeonekana kuleta athari kubwa katika vizazi vijavyo. Amebainisha hayo jijini Dodoma wakati alipokuwa akifanya ziara katika maduka…
September 16, 2021, 11:43 am
Shinyanga: serikali yaunda timu maalumu ya kupitia mfumo wa mauzo ya mazao ya de…
Serikali imeunda Timu Maalumu ya Kupitia Mfumo wa Mauzo kwa mazao ya Jamii ya mikunde ikiwemo Dengu, Choroko, Mbaazi na Ufuta kwa ajili ya kusikiliza na kupokea maoni kwa wadau kuhusu namna bora ya kutekeleza ununuzi wa mazao hayo katika…