Kahama FM
DTBBANK
April 15, 2021, 4:32 pm
Serikali Wilayani Kahama Yaipongeza Benki ya TPB Kwa kutoa madawati 92 Ushetu.
SERIKALI Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga imeishukuru Benki ya Posta Tanzania (TPB) Kwa kujali na kutumia faida yake waliopata kuirudisha kwenye jamii kwa kutoa jumla ya madawati 92 katika Shule ya Sekondari Ubagwe Halmashauri ya ushetu. Akizungumza mara baada ya kupokea…