Kahama FM
Jambazi
June 1, 2021, 6:29 pm
ANAYEDAIWA KUWA JAMBAZI AFARIKI BAADA YA KUPIGWA RISASI SHINYANGA MJINI.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba Mwanaume aliyejulikana kwa jina la Idd Masasi (43) anayedaiwa kuwa ni Jambazi amefariki dunia akipatiwa matibabu katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Shinyanga baada ya kupigwa risasi mguuni na mgongoni…