Kahama FM
KODI
April 12, 2021, 6:57 am
Wawekezaji wa viwanda Shinyanga wapongeza maamuzi ya Rais Samia Kuhusu Kodi.
BAADHI ya wawekezaji wa viwanda katika Manispaa ya Shinyanga mkoani hapa, wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa hotuba yake aliyoitoa hivi karibuni, wakati akiwapisha makatibu wakuu na manaibu kutoka wizara mbalimbali, na kuonyesha neema kwa wawekezaji hasa kwenye suala la…