Kahama FM
MAHAKAMANI
April 21, 2021, 7:15 pm
Mkazi wa Nyasubi wilayani Kahama leo afikishwa katika Mahakama ya wilaya.
Mkazi wa Nyasubi wilayani Kahama mkoani Shinyanga JONATHANI JULIUS MANYAMA mzanaki (32) leo amefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Kahama kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kwa shauri lake la ubakaji Pamoja na kumpa ujauzito mwanafunzi wa kidato cha nne wa…