Kahama FM
Mamba
April 6, 2021, 7:49 am
Mwanafunzi wa darasa la kwanza aliwa na mamba Ziwa Victoria.
Janeti Mganga (8) aliyekuwa anasoma darasa la kwanza shule ya msingi Busikimbili iliyoko kata ya Maisome, Halmashauri ya Buchosa, wilayani Sengerema mkoani Mwanza ameuawa na mamba wakati akioga kwenye Ziwa Victoria huku baadhi ya viungo vya mwili wake vikiwa vimenyofolewa…