MWENGE WA UHURU
July 4, 2023, 3:02 pm
Unafahamu kuhusu ugonjwa wa fistula?
Kipindi cha afya ya uzazi kinachorushwa Kahama Fm kila jumapili kuanzia saa 4 hadi saa 5 asubuhi.
November 9, 2022, 12:32 pm
KAHAMA:Washinda Kaburini wakimuomba Rais Samia awasaidie kurejesha Ardhi yao ili…
Wajukuu wa Marehemu Mussa Sekke Wakiwa Wamekaa kwenye KaburiĀ Katika hali isiyo ya kawaida wajukuu wa Marehemu Musa Sekke Kasuka wa kijiji cha Mpera Kata Ya Isagehe wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameamua kushinda kwenye kaburi la babu yao Wakimuomba Rais…
July 15, 2021, 12:10 pm
Miradi 6 ya maendeleo yenye thamani ya milioni 967,2 wilayani Urambo yazinduliwa…
MIRADI sita yenye thamani ya milioni 967.2 Wilayani Urambo imezinduliwa na mbio maalumu za Mwenge wa Uhuru. Kati ya miaradi hiyo Serikali kuu imechangia kiasi cha shilingi milioni 831.3 na, Halmashauri imechangia 134.9. Kiongozi wa Mbio hizo Maalumu za Mwenge…
July 9, 2021, 6:29 pm
DC KISWAGA:Wana Kahama Jitokezeni Julai 12 kuupokea Mwenge wa Uhuru.
Mkuu wa wilaya ya Kahama Mh Festo Kiswaga amewataka wananchi wa Manispaa ya Kahama kujitokeza kwa wingi kuupokea mwenge wa Uhuru ambao unatarajia kuingia manispaa ya Kahama Tarehe 12/7/2021. Kiswaga amesema kuwa mwaka huu mwenge wa uhuru utapokelewa na baada…