Kahama FM

UKATILI

August 18, 2021, 8:58 pm

Ukatili wa kijinsia wapungua baada ya wananchi kuelimishwa.

Imeelezwa kuwa katika Halmashauri ya Ushetu wilayani Kahama mkoani Shinyanga, ukatili wa kijinsia umepungua baada ya wananchi kuelimishwa kupitia  mikutano ya Kijiji, ikiwemo wanandoa kutelekeza familia na wanafunzi kuachishwa shule. Akizungumza na Kahama FM Afisa Tarafa ya Dakama TUMSHUKURU MDUI…

July 7, 2021, 11:19 am

Wanaume wilayani Kahama washauriwa kutoa taarifa za ukatili.

Wanaume wilayani Kahama mkoani Shinyanga wameshauriwa kutoa taarifa za ukatili katika dawati la jinsia pindi wanapofanyiwa  ukatili na wenza wao, ili waweze kutatuliwa changamoto zinazowakabli katika jamii.. Wito huo umetolewa na KOPLO JOSEPH shayo wakati akizugumza na KAHAMA FM, ambapo…

May 6, 2021, 7:23 pm

Wanaume wafanyiwa ukatili na wanawake.

Imeelezwa kuwa Moja ya ukatili wa kijnsia unaojitokeza katika kata ya Nyamilangano halmashauri ya ushetu wilayani kahama mkoani shinyanga, ni baadhi ya wakina baba kupigwa na wake zao hali inayosababisha kutelekeza familia zao pamoja na wanandoa kutokugawana mali inapotokea wameachana.…