Kahama FM
UZINDUZI
June 8, 2021, 5:05 pm
Wazazi na waelezi katika Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga watakiwa kuwa wazal…
Wazazi na waelezi katika manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuwa wazalendo kwa kuwalea Watoto wao katika maadili yaaliyo mema na kuwaonyesha njia sahihi ya kulitumikia taifa. Hayo yamesemwa na mkuu wa wilaya ya Kahama ANAMRINGI MACHA wakati wa uzinduzi…