Kahama FM
WAJASIRIAMALI WADOGO.
May 31, 2021, 1:48 pm
OSHA YAZINDUA MPANGO WA KUSAJILI NA KUKAGUA MAENEO YA WAJASIRIAMALI WADOGO.
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umezindua mpango maalum wa kuwasajili na kuwahudumia wajasiriamali wadogo kupitia ukaguzi wa sehemu za kazi, kuwapa mafunzo na ushauri wa kitaalam kuhusiana na masuala ya usalama na afya mahali pa kazi.…