Kahama FM
watoto
April 15, 2021, 4:15 pm
Wadau Shinyanga walia na Shria ya ndoa ya Mwaka 1971 ya binti kuolewa akiwa na m…
SHERIA ya ndoa ya mwaka 1971 ambayo inaruhusu mtoto mwenye umri wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya wazazi, na 15 Mahakama, imetajwa kuwa tatizo kukomesha mimba na ndoa za utotoni. Mkurugenzi wa Shirika la Agape linalotetea haki za wanawake…