Karagwe FM

Karagwe – FM

22 April 2024, 8:43 am

Wananchi wapewa mbinu za kukomesha uhalifu

Jamii bila uhalifu inawezekana ikiwa ushirikiano na utoaji wa taarifa kwa wakati kwa jeshi la polisi vitapewa kipaumbele. Na Eliud Henry: Wananchi wilayani Karagwe wametakiwa kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi na kuripoti vitendo vya kihalifu  ili kudumisha amani katika…

19 April 2024, 2:39 pm

Bashungwa akunwa na uwekezaji wa KARADEA

Elimu ni urithi pekee usio hamishika kwa mwanadamu, tuwapeleke watoto shule ili wapate maarifa. Na Devid Geofrey: Waziri wa Ujenzi na mbunge wa jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa viongozi na wasimamizi wa shule za serikali na binafsi…

16 April 2024, 1:18 am

DC Karagwe awakalia kooni askari wala rushwa

Rushwa ni adui wa haki, utu, heshima na haki msingi za binadamu hivyo jamii lazima ishiriki vyema kuitokomeza Na Devid Geofrey: Mkuu wa wilaya ya Karagwe mkoani Kagera Julius Kalanga Laizer amepiga marufuku vituo vya polisi kuwatoza  wananchi fedha kwa…

3 December 2021, 9:58 pm

Neema kuwashukia wana KCU 1990 L.T.D

Wajumbe wa bodi ya Chama Kikuu Cha Ushirika Kagera KCU 1990 LTD wamefanya mazungumzo na Mrajis wa Vyama vya Ushirika Tanzania Dr Benson Ndiege juu ya masoko ya zao la kahawa pamoja na mikakati uboreshaji wa shughuli za Ushirika zinazotekelezwa…

15 November 2021, 11:30 am

Miradi ya Maendeleo yatengewa Bilioni 3.3

Zaidi ya shilingi bilioni tatu zimetolewa kwaajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani Karagwe kama pesa iliyotolewa na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwaajili ya mapambano dhidi ya Uviko-19. Akizungumza na Redio Karagwe Fm sauti ya…

29 September 2021, 7:20 am

Katunguru wajisaidia vichakani na ziwani.

Baadhi ya wavuvi wanaofanya shughuli zao katika mwalo wa Katunguru kata ya Gwanseri wilayani Muleba wako hatarini kupata mlipuko wa magonjwa kutokana na mwalo huo kutokuwa na choo hali inayosababisha baadhi yao kujihifadhi vichakani na ziwani.

29 September 2021, 7:02 am

Ngeze achaguliwa kuwa mwenyekiti wa ALAT

Mweyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Bukoba Murshid Ngeze amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Umoja wa mamlaka ya viongozi wa serikali za mitaa ALAT Taifa katika uchaguzi uliofanyika mwishoni mwa wiki Jijini Dodoma. Akiongea na Radio Karagwe kwa njia ya simu…

29 September 2021, 6:44 am

Maulidi kitaifa kuadhimishwa mkoani Kagera

Baraza kuu la waislamu Tanzania BAKWATA Makao makuu linatarajia kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume Muhammad maarufu kama Maulidi mwaka huu kitaifa mkoani Kagera. Akiongea na wandishi wa habari Septemba 28 mwaka huu Sheikh wa mkoa wa Kagera alhaji Haruna Kichwabuta…

Tundu Lissu

22 September 2021, 1:52 pm

Tundu Lissu na Wenzake Wapata Neema.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeifuta kesi ya uchochezi iliyokuwa inamkabili, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleao (Chadema) Tanzania Bara, Tundu Lissu na wenzake wanne.Ni baada ya Mkurugenzi wa Mashtaka nchini Tanzania (DPP) kuieleza mahakama hiyo kuwa hana…