Karagwe FM

karagwe -fm

6 November 2021, 11:38 am

Wapewa siku 90 kuwapisha wafugaji

Wakulima waliovamia ardhi ya kijiji cha Kashanda kata ya Nyakakahanga wilayani Karagwe  wamepewa miezi mitatu kuvuna mazao yao mahindi na maharage na kisha kuondoka katika kijiji hicho ili kuwaacha wafugaji waendelee na shughuli zao. Kamati ya ulinzi na usalama ya…

Kayanga Stendi

26 May 2021, 7:07 pm

Wapewa saa 48 kuhamisha vibanda.

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Karagwe Godwin Kitonka amewataka wajasiriamali wanaofanya biashara katika stendi ya Kayanga wilaya Karagwe kuhamisha vibanda vilivyojengwa katika eneo hilo kabla ya May 27 mwaka huu. Bwana Kitonka ametoa kauli hiyo Mei 26 mwaka huu…