On air
Play internet radio

Recent posts

28 March 2024, 9:50 am

Mtoto mwingine wa miaka 7 ajeruhiwa na fisi kijiji cha Mumagunga Bunda

Misipina Silivester 7 mkazi wa kitongoji cha Arusha kijiji cha Mumagunga halmashauri ya wilaya ya Bunda ameshambuliwa na fisi akiwa anaanua udaga mwambani karibu na nyumbani kwao. Na Adelinus Banenwa Mtoto mwingine ajeruhiwa na fisi kijiji cha Mumagunga zikiwa ni…

21 March 2024, 7:20 pm

Anayetuhumiwa kubaka, kulawiti mwanafunzi apandishwa kizimbani Bunda

Bunda: Mwalimu aliyetuhumiwa kubaka, kulawiti mwanafunzi apandishwa kizimbani akana mashtaka arudishwa rumande Na Adelinus Banenwa Leo tarehe 21/03/2024 katika mahakama  ya Wilaya Bunda amepandishwa kizimbani Vicent Joseph Nkunguu umri miaka  36 mwalimu mkuu shule ya msingi Masahunga kwa tuhuma za  kujaribu…

15 March 2024, 4:54 pm

Aliyekuwa diwani wa Kisorya kuzikwa jumatatu kwa mujibu wa familia

Aliyekuwa diwani wa Kisorya kuzikwa jumatatu kwa mujibu wa familia familia yasema alikuwa haumwi yasubiri majibu ya uchunguzi. Na Adelinus Banenwa Mafuru Phinias Mafuru kijana wa marehemu ameiambia Mazingira Fm kuwa kama familia wamesikitishwa na tukio la kuondokewa na mzazi…

15 March 2024, 4:25 pm

Jumuiya ya wazazi CCM Bunda yalaani tukio la mwanafunzi kubakwa, kulawitiwa

Jumuiya ya wazazi CCM Bunda yalaani mwanafunzi kubakwa, kulawitiwa yaitaka serikali kubitia vyombo vyake kuhakikisha sheria inachukue mkondo wake kwa atakayethibitika kutenda kosa hilo. Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa wazazi CCM wilaya ya Bunda wakili Leonard Magwayega amekemea vikali kitendo…

15 March 2024, 12:59 pm

Diwani wa kata ya Kisorya Bunda afariki dunia

Diwani wa kata ya Kisorya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda [CCM] Mhe Amos Lufunjo Ndaro amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo, Na Adelinus Banenwa Diwani wa kata ya Kisorya Halmashauri ya Wilaya ya Bunda [CCM] Mhe Amos Lufunjo Ndaro amefariki…

13 March 2024, 6:26 pm

Mwalimu mkuu adaiwa kubaka, kulawiti na kumnywesha sumu mwanafunzi wake

Vitendo vya ukatili kwa watoto hasa ubakaji na ulawiti vimeendelea kushamiri Kanda ya Ziwa licha ya serikali na mashirika mbalimbali kupinga vitendo hivyo, juhudi za maksudi zinahitajika kumaliza tatizo hili. Na Adelinus Banenwa Tukio hilo linatajwa kutokea Machi 9, 2024,…

13 March 2024, 5:48 pm

Wananchi watakiwa kupunguza mifugo kulinda mazingira

Mhadhiri wa Chuo cha Kilimo Sokoine SUA Dkt. Lalika amesema kuwa kutokana na uwepo wa mifugo mingi hususani katika eneo la Wegelo unaleta madhara katika bonde la mto Mara hasa uharibifu wa Mazingira. Na Catherine Msafiri Katika kutathimini mradi wa…

12 March 2024, 1:48 pm

Aneth Nyamuziga achangia mbao 50 ujenzi nyumba ya katibu UWT Bunda

Mjumbe wa  mkutano mkuu UWT,  CCM taifa na  mjumbe wa halmashauri kuu CCM wilaya ya Ngara Aneth Philemon Nyamziga  amewapongeza wanawake wa CCM wilaya ya Bunda kwa kujitoa kukijenga chama na jumuiya ya wanawake bila kuchoka. Na Adelinus Banenwa Mjumbe…

12 March 2024, 12:48 pm

WWF yabaini vyanzo 578 vya maji Mara

Shirika la WWF katika kutekeleza mpango kazi walioandaa kwa mwaka wa fedha 2024 kwa kuziunga mkono jumuiya za watumia maji mkoa wa Mara, wamebaini vyanzo vya maji zaidi ya 578 ambapo lengo la mradi ni kufikia watu 20,000. Na catherine…