Mazingira FM

Waandishi wa habari wa redio za kijamii kanda ya ziwa wajengewa uwezo na TADIO

25 March 2021, 3:17 pm

Katika kuhakikisha redio za kijamii  zinasikika kupitia kwenye mtandao TADIO  imeanzisha program maalumu itakayozisaidia redio zote za kijamii zilizopo kwenye TADIO

Mafunzo hayo ya siku mbili yamefanyika Jijini Mwanza ambapo mafunzo yanalenga kuwawezesha waandishi kutoka vituo vya redio za kijamii Tanzania kuweka/kupakia maudhui Habari katika mtandao

waandishi wa habari redio za kijamii

Kupitia kwa wawezeshaji katika mafunzo hayo

Amua Rushita, Ayubu Lulesu wameeleza namna  ya kutumia redio TADIO poto kuongeza wasikilizaji duniani na kuongeza  matangazo