Mazingira FM

kijamii

8 March 2024, 12:51 pm

Wananchi Nyasura washiriki kuchimba mitaro wapate maji

Imeelezwa kuwa ushiriki wa wananchi katika shughuli za maendeleo ni suala muhimu na la msingi katika kujiletea maendeleo katika vijiji na mitaa. Na Adelinus Banenwa Imeelezwa kuwa ushiriki wa wananchi katika shughuli za maendeleo ni suala muhimu na la msingi…

2 March 2024, 6:05 pm

Bobaboda wapewa onyo kali kujichukulia sheria mkononi

Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi mhe Jumanne Sagini amekemea madereva pikipiki maarufu kama bodaboda kukiuka sheria za usalama barabarani. Na Adelinus Banenwa Naibu waziri wa mambo ya ndani ya nchi mhe Jumanne Sagini amekemea madereva pikipiki maarufu…

19 February 2024, 11:26 am

Nyatwali mbioni kulipwa

Katibu tawala wilaya ya Bunda Salumu Mtelela amelihakikishia baraza la madiwa la mji wa Bunda kuwa taratibu za kuwalipa wakazi wa Nyatwali zipo ukingoni na muda wowote kutoka sasa wakazi hao wataanza kulipwa. Na Adelinus Banenwa Katibu tawala wilaya ya…