Mazingira FM

Siasa

21 April 2024, 1:05 pm

Katibu mkuu BAVICHA alia na wazee

Changamoto kubwa inayowafanya vijana washindwe kuwania nafasi za uongozi ” ni wazee kutowaamini vijana, vijana wengi hawaaminiwi na wazee” Na Edward Lucas Katibu mkuu wa Baraza la Vijana Chadema Tanzania Bara, Yohana Kaunya amesema wazee kutowaamini vijana na ushirikishwaji mdogo…

17 April 2024, 6:09 am

Viongozi wa kata CCM Bunda wapewa pikipiki

Pikipiki 132 zimetolewa kwa viongozi wa Kata 33 CCM Bunda kwa lengo la kuimarisha uhai wa chama. Na Adelinus Banenwa Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bunda Ndugu Mayaya Abraham Magese amekabidhi pikipiki kwa makatibu wa CCM wa chama na Jumuiya…

4 April 2024, 5:42 pm

Wanaojipitisha kusaka uongozi CCM Bunda waonywa

Katibu awa siasa na uenezi CCM Bunda ndugu Gasper Petro amewaonya wanachama wa CCM wanaopitapita kwa nia ya kugombea nafasi ambazo bado viongozi wake wapo kama vile uwenyekiti, udiwani au ubunge ndani ya wilaya ya Bunda. Akizungumza katika ziara ya…

8 March 2024, 12:41 pm

Wanawake watakiwa kuachana na mikopo umiza, kausha damu

Wito umetolewa kwa wanawake kuachana na mikopo kandamizi yenye riba kubwa maarufu kama kausha damu badala yake wakakope kwenye taasisi zinazotambulika kisheria kama vile benki na halmashauri. Na Adelinus BanenwaWito umetolewa kwa wanawake kuachana na mikopo kandamizi yenye riba kubwa…

28 November 2021, 8:00 am

Mtelela:-TAKUKURU ichunguzeni TARURA Bunda mjini

Katibu tawala Wilaya ya Bunda Salum Mtelela ameelekeza TAKUKURU Wilaya ya Bunda kuichunguza TARURA Bunda Mjini kutokana na malalamiko mbalimbali ya utekelezaji usiyofaa wa miradi ya miundombinu ya Barabara ndani ya Halmashauri ya Mji wa Bunda Maelekezo hayo ameyatoa kwenye…

3 July 2021, 3:33 pm

Baraza la umoja wa Vijana UVCCM Wilaya ya Bunda

By Adelinus Banenwa Katibu wa Umoja wa Vijana UVCCM mkoa wa Mara Wambula Peresia amesema niwajibu wa madiwani na wabunge kuwawezesha Vijana hasa kwenye kuandaa mabaraza ya Wilaya Hayo ameyasema leo July 3, 2021 kwenye baraza la Vijana UVCCM Wilaya…