On air
Play internet radio

Recent posts

19 April 2024, 11:06 am

Uvccm Iringa wapongeza kurejeshwa kwa mikopo ya asilimia 10

Mikopo ya asilimia 10 inawanufaisha vijana, Wanawake na watu wenye ulemavu katika shughuli za kiuchumi. Na Adelphina Kutika Jumuiya ya Umoja wa Vijana ya Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassani kwa kurejesha tena utoaji…

18 April 2024, 11:32 am

Msigwa achukuliwa fomu kugombea kanda ya Nyasa

Wanawake wa Chadema Mkoa wa Iringa waliamua kwenda Jijini Mbeya kumchukulia fomu Mchungaji Msigwa wakitaka agombee uenyekiti Kanda ya Nyasa. Na Mwandishi wetu. Mgombea wa nafasi ya uenyekiti Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa amekabidhiwa fomu ya kuwania nafasi hiyo…

16 April 2024, 10:14 am

Wananchi wa Wangama Iringa wanakabiliwa na adha ya usafiri

Licha ya serikali kuweka kipaumbele katika ujenzi wa miundombinu ya barabara, dado wananchi wa Kijiji cha Wangama wanakabiliwa na changamoto ya usafiri. Na Fabiola Bosco Wananchi wa kijiji cha Wangama kata ya Luhota halmashauri ya wilaya ya Iringa wanakabiliwa na…

16 April 2024, 10:09 am

Madaktari bingwa kutoka JKCI kuweka kambi Iringa

Serikali imefanya jitihada za kukabiliana na Magonjwa yasiyoambukiza kwa kuwaleta wataalamu kutoka Taasisi ya JKCI Mkoani Iringa kuweka Kambi ya kuwahudumia wakazi wa Mkoa huu. Na Adelphina Kutika MAMIA ya Wananchi kutoka maeneo mbalimbali mkoani Iringa  wamejitokeza kwa wingi kwenye…

13 April 2024, 11:54 am

Mahakama ya Wilaya Mufindi yataifisha V8 iliyobeba wahamiaji haramu

Na mwandishi wetu Mahakama ya Wilaya ya Mufindi ya mkoani Iringa, imetaifisha kuwa mali ya serikali, gari aina ya Toyota LandCruiser V8, lililokamatwa likiwa limebeba wahamiaji haramu 16 raia wa Ethiopia April 6 2024 katika eneo la msitu wa Luganga…

12 April 2024, 10:01 am

Mafinga mji kuongeza ukusanyaji mapato

Licha ya Mafinga kuwa kinara katika ukusanyaji wa mapato, Bado Viongozi wa Halmashauri hiyo wamekuwa mstari wa mbele kupata Elimu namna ya kuboresha ukusanyaji wa mapato. Na Hafidh Ally & Sima Bingilek Halmashauri ya Mji Mafinga imepanga kuongeza kasi katika…

8 April 2024, 9:53 am

Kihenzile afuturisha, afanya dua ya kuliombea taifa

Na Mwandishi wetu. Mbunge wa Jimbo la Mufindi na Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile ameungana na Viongozi wa Dini , Serikali pamoja na Wananchi kupata Iftar ya pamoja iliyoambatana na dua ya kumuombea Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa…

8 April 2024, 9:04 am

Vijana Iringa waaswa kugombea nafasi za uongozi

Kutojiamini, kukosa elimu ya uongozi, kukosa uzoefu, kutoaminika, kudharaulika ni miongoni mwa sababu zinazopelekea Vijana wengi washindwe kujitokeza kugombea nafasi za uongozi hapa nchini. Na Adelphina Kutika VIJANA Katika Halmashauri ya Wilaya Ya Iringa wametakiwa kujitokeza na kugombea katika uchaguzi…

8 April 2024, 9:01 am

Mapesa awaagiza maafisa kilimo Idodi mashine za kukoboa mpunga

Na Joyce Buganda Maafisa kilimo wa Tarafa ya Idodi iliyopo wilaya ya Iringa wameagizwa kutafuta mashine za kukoboa mpunga na kuzipeleka katika eneo hilo ili kumpunguzia mkulima gharama za usafirishaji wa zao hilo mpaka Iringa mjini. Hayo yamezungumzwa  na Afisa…

5 April 2024, 9:36 am

Tanzania kinara wa usimamizi rasilimali madini, mafuta, gesi asilia

Na mwandishi wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Asasi ya Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na Gesi Asilia (EITI) ya…

DIRA

Jamii yenye ustawi kielimu, kiuchumi, kiafya, kisiasa na kitamaduni.

DHAMIRA

Kuwa sauti ya jamii inayoibua kero mbalimbali kwa kushirikiana na jamii, wadau mbalimbali kuzalisha habari na vipindi kupitia vifaa na teknolojia ya kisasa na rasilimali watu yenye sifa stahiki.