Nuru FM

Habari za Iringa

7 May 2024, 8:35 pm

Mgomo wa daladala Iringa waingia siku ya pili

Mgomo wa madereva daladala umechukua sura mpya baada ya madereva hao kutotoa huduma ya usafiri kutokana na Madereva bajaji kuingilia Njia zao. Na Hafidh Ally Madereva daladala katika kituo cha stand ya zamani ya mabasi Manispaa ya Iringa wameendeleza mgomo…

6 May 2024, 9:01 pm

Ukosefu wa umeme wakwamisha shughuli za kiuchumi Mtalagala

Wananchi wa mtaa wa Mtalagala kata ya Nduli Manispaa ya Iringa wameiomba serikali kuwapelekea huduma ya umeme kili kurahisisha shughuli za uchumi na ukuaji wa mtaa huo. Na Azory Orema Wananchi hao wamesema kuwa wamechokwa kudanganywa na viongozi wao ambao…

6 May 2024, 11:36 am

Madereva Bajaji wadokozi waonywa

Tabia ya wizi imekuwa ikipigwa vita hasa baada ya abiria kusahau mizigo yao ndani ya vyombo vya moto. Na Agness Leonard Madereva bajaji mkoani iringa wametakiwa kuwa waaminifu pindi abiria anaposahau mzigo kwenye chombo cha usafiri. Hayo yamezungumzwa na Makamu…

3 May 2024, 11:15 am

Chadema wadai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi

Katiba mpya kabla ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 imekuwa ni ajenda kuu katika majukwaa ya siasa hapa Nchini. Na Joyce Buganda Ili kupata viongozi bora Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimetaka kuwe na Tume huru ya uchaguzi na…

3 May 2024, 11:07 am

DED Mafinga mji akagua miradi ya maendeleo

Katika utekelezaji wa Miradi ya maendeleo, Mkurugenzi wa Mafinga mji ameamua kufuatilia utekelezaji wake ili kukamilisha kwa haraka. Na Sima Bingilek Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Mafinga Bi, Fidelica Myovella akiwa na baadhi ya Wakuu wa Idara ametembelea Miradi ya…

2 May 2024, 10:00 am

Wizi wa mifugo washamiri Kiwele

Wananchi wa Kata wa Kiwele wametaka kukomeshwa mara moja tabia wizi wa mifugo unaofanywa na vijana wenye nia mbaya. Na Joyce Buganda Wimbi la wizi wa mifugo limeshika kasi katika Kijiji na kata ya kiwele Halmashauri ya Wilaya ya Iringa…

30 April 2024, 10:38 am

Wafanyakazi Nuru FM wapigwa msasa uandishi wenye tija

Waandishi wa habari Radio Nuru FM wameaswa kufuata weledi katika uandishi wa habari. Na Hafidh Ally Wafanyakazi wa Nuru FM radio iliyopo Mkoani Iringa wamepatiwa Mafunzo ya namna ya kuandaa maudhui na kuchapisha katika Mtandao wa Radio Tadio. Akizungumzia kuhusu…

29 April 2024, 9:55 am

DC Linda awaonya wanaowatumia walemavu kitega uchumi

Vitendo vya udhalilishaji kwa watu wenye ulemavu ikiwemo suala la kuwatumia kujinufaisha kiuchumi limeonekana kushamiri wilaya ya Mufindi. Na Hafidh Ally Wananchi wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wametakiwa kujenga utaratibu wa kuwasaidia watu wenye mahitaji maalum kuliko kuwafanya vitega uchumi…

26 April 2024, 9:58 am

Wananchi Kiwele waomba josho la kuogeshea mifugo

Kuogesha mifugo ni muhimu sana kwani husaidia katika kudhibiti wadudu wanaosababisha magonjwa. Na Joyce Buganda Wananchi wa kata ya Kiwele iliyopo jimbo la Kalenga  mkoani  Iringa wanakumbana na changamoto ya ukosefu wa josho jambo linalopelekea kutembea umbali mrefu kwenda kuogesha…