Offline
Play internet radio

Recent posts

18 January 2024, 9:29 AM

Hokololo, NBS watoa mafunzo kwa watendaji Mtwara

MASASI Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Mtwara kupitia Chama cha Mapinduzi  CCM,  AGNES  HOKOLOLO , amewataka viongozi walioshiriki mafunzo ya kujengewa uwezo kutoka Tume ya Taifa ya Takwinu NBS  kuyatumia kwa ajili ya kupanga mipango ya maendeleo katika maeneo…

17 November 2023, 10:08 AM

Masasi waonywa kutotumia walemavu kujiingizia kipato

MASASI. Jamii wilayani Masasi imetakiwa kutowatumia watu wenye changamoto ya ulemavu kama sehemu ya kujiingizia kipato kwani kufanya hivyo ni kosa kisheria. Wito huo umetolewa na wakili wa kujitegemea wilayani humo Kida Mwangesi, katika studio za Radio Fadhila wakati akiwasilisha…

17 November 2023, 10:02 AM

CCM Mtwara yakagua miradi ya maendeleo Masasi

Masasi Kamati ya Chama Cha Mapinduzi {CCM} mkoa wa Mtwara, imefanya ziara ya kikazi wilayani Masasi kwa lengo la kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo wilayani humo. Ziara hiyo imeongozwa na katibu wa chama ngazi ya mkoa David Molle, ambapo  walitembelea…

17 November 2023, 9:55 AM

Wanafunzi Masasi wahimizwa kupambana na vitendo vya ukatili

MASASI. Mwenyekiti wa kampeni ya kupinga vitendo vya ukatili idara ye elimu mkoa wa Mtwara Kristine Simo, ambaye pia ni mwenyekiti wa taasisi isiyo ya kiserikali ya Upendo Charity inayojishughulisha na kusaidia jamii yenye uhitaji iliyopo wilayani Masasi, amewataka wanafunzi…

8 August 2023, 11:16 AM

Upendo Charity wamfariji Bibi Sabra

Wanakikundi  wa  Upendo Charity, kinachopatikana katika halamshauri ya Mji wa Masasi mkoani Mtwara, wameshiriki kufanya matendo ya huruma kwa kutoa maziwa ya Lactojeni dazeni moja na nguo za kujikinga na baridi kwa mtoto Sabra  aliyezaliwa hivi karibuni katika Hospitali ya…

8 August 2023, 10:59 AM

WAKIHABIMA waitaka jamii kuibua taarifa za vitendo vya kikatili

Afisa vijana kutoka idara ya maendeleo ya jamii  halmashauri ya mji wa Masasi mkoani Mtwara Ebeneza Wisso, ametoa rai kwa wasaidizi wa kisheria kutoka shirika lisilo la kiserikali linalojihusisha na usaidizi wa kisheria katika halmashauri hiyo   WAKIHABIMA, kujikita katika jamii…

8 August 2023, 10:45 AM

Wazazi washauriwa kunyonyesha mtoto kwa wakati

Mratibu wa lishe Halmashauri ya Mji Masasi Happiness Mlamka ametoa rai kwa jamii ya Halmashauri ya Mji wa Masasi wakiwemo waajiri na kinababa Mkoani Mtwara  kutoa ushirikiano wa kutosha kwa kinamama wanaonyonyesha watoto ili waweze kuwanyonyesha watoto wao katika hali…

12 June 2023, 12:23 PM

Vyama vya ushirika Mtwara vyapigwa msasa kutumia mfumo mpya wa ‘MUVU’

Takribani wajumbe  110 kutoka  vyama vya ushirika wilaya za Masasi na Nanyumbu, wakiwemo makatibu, wahasibu na maafisi ushirika, wameshiriki katika mafunzo  ya kujengewa uwezo wa kuendesha mfumo mpya wa ‘MUVU’   ili waweze kutekeleza majukumu yao  kiufanisi na  kidigitali zaidi. Mfumo huo…

8 June 2023, 9:55 AM

Door of Hope wakutana na vijana, wawapa mbinu za utambuzi

Shirika lisilo la kiserikali la DOOR OF HOPE lenye makao yake mkoani Mtwara limekutana na vijana  zaidi ya 30 kutoka  kata za Jida na Migongo  ili kuwajengea uwezo wa utambuzi katika mradi wa Kijana Kwanza ambao unatekelezwa katika halmashauri ya…