Radio Fadhila

Prof Ibrahim Lipumba amefanya kampeni wilayani masasi

19 October 2020, 10:53 AM

Mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha wananchi CUF prf Ibrahim lipumba amefanya mkutano wa kampeni wilayani masasi katika eneo la uwanja wa fisi na kuzungumza na wakazi wa masisi

prf lipumba aliwaahidi wananchi wa wilaya ya masasi endapo tu watamchagu kuwa raisi ataboresha sekta ya kilimo na kusimamia malipo ya korosho kwa wakulima

ikumbukwe kuwa kwa sasa wagombea mbalimbali wa vyama vya siasa wapo katika kampeni za kuomba kura kwa wananchi kupitia ilani ya vyama hivyo