kijamii
22 April 2024, 5:39 PM
Ahaidi kuandika historia nyingine licha ya kuwa historia ndefu
Na Lilian Martin Ni mwenyekiti wa CCM wilaya Masasi mwenyekiti wa CCM wilaya ya Masasi Bi Mariam Kasembe ameahidi kuandika historia mpya licha ya kuwa na historia ndefu nyuma uongozi, maumivu na kukatishwa tamaa amesemakuwa safari yake ya kuongozi ilianza…
22 April 2024, 4:16 PM
Waomba kujitoa katika chama Cha msingi walichopo na kupata chama kipya
Wakulima wakiwa katika kikao Na Lilian Martin Masasi wakulima kutoka vijiji vya Chilimba Lisanje na Misechela vilivyopo Wilayani Masasi wamefanya kikao kilicho hudhuriwa na diwani wa kata hiyo mh.Juma Satma kilicho lenga adhima ya kupata chama Cha msingi kipya na…
20 May 2021, 11:35 AM
TATEDO Kushirikiana na WWF yatoa majiko 2 na Sufuria 2 kupunguza uharibifu wa ma…
Shirika lisilo la kiserikali TATEDO linalo jihusisha na uendelezaji wa teknolojia na huduma za nishati endelevu tanzania, katika ukanda huu wa ruvuma linatekeleza Mladi wa kuleta mabadiliko katika sekta ya nishati na mradi huu unafaziliwa na WWF tanzania na kushirikiana…
19 May 2021, 5:38 AM
CHAMA Cha Viziwi Tanzania (CHAVITA) Kuweka Madawati Ya Lugha Ya Alama
CHAMA Cha viziwi Tanzania (CHAVITA) tawi la mkoa Mtwara kimeiomba serikali kuweka madawati ya lugha ya alama katika vituo vya kutolea huduma za afya mkoani Mtwara lengo likiwa ni kupunguza vikwazo vya mawasiliano kati ya viziwi na wahudumu wa afya.…
11 January 2021, 4:23 AM
DK Jackson- mazoezi ni sehemu ya afya.
8 January 2021, 4:43 AM
Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil mwambe amefanya ziara katika Jimbo lake
Mbunge wa Jimbo la Ndanda Cecil mwambe amefanya ziara katika Jimbo lake na kutembelea Jumuiya mbali mbali za maji na kufanya nazo mkutano wenye lengo la kuboresha Shuguli wanazozifanya ili ziweze kufahamika kikatiba . Katika ziara hio aliambatana na Meneja…
13 December 2020, 6:10 AM
Wanajamii wachanga fedha kukamilisha mahitaji ya shule.
Mkutano uliowahusisha Wazazi na wanajamii katika shule ya msingi Mpindimbi iliyopo wilayani Masasi kwa lengo kujadili mambo ya maendeleo ya katika shule hiyo Katika mkutano huo pia ilihusisha zoezi la harahambee ya kuchangia ili kukamilisha ujenzi wa ofisi ukarabati wa…
11 December 2020, 8:34 AM
Kipindi Cha Ujasilia Mali- Sanaa ya Uchoraji Kwa Kutumia Rangi Imewaajili vijana…
Msikilize athumani miranzi ni moja ya wasanii wa sanaa ya uchoraji kwa kutumia rangi amefanya kazi nyingi 9AMECHORA PICHA NYINGI na kuziuza inje ya nchi ni mwanasanaa anaetokea kusini pia moja ya kazi zake alizo wa hi kuzifanya utazitazama hapa…