Sibuka FM

SIBUKA FM

13 March 2024, 11:35 am

DC  Maswa  aagiza viongozi, watendaji  kusikiliza kero za wananchi

Mkuu  wa  Wilaya ya  Maswa  mkoa  wa  Simiyu  Mh  Aswege  Kaminyoge   ametoa  maagizo   kwa  watendaji na  viongozi  wengine  kusikiliza  kero za  za  wananchi  na kuzitafutia  ufumbuzi na  siyo  kusubiri viongozi  wa  ngazi  za  juu kuja  kusikiliza  kero  ambazo  zingetatuliwa na  viongozi …

13 March 2024, 10:44 am

Rais atoa zana za kilimo Maswa kuongeza uzalishaji wa pamba

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mh Aswege Kaminyoge   amemshukuru   Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zana za kilimo kwa wakulima wa kata  ya  Senani  ili kumsaidia  mkulima  katika  kuongeza  tija  katika  zao la pamba. DC Kaminyoge  ametoa  shukrani  hizo  wakati  wa  kuzindua zana…

10 March 2024, 8:38 am

Red Cross: Mwanamke ni nguzo muhimu kwa taifa

Chama cha msalaba mwekundu mkoani Simiyu kimesherekea siku ya Wanawake duniani kwa kufanya usafi katika hospitali ya wilaya ya Maswa katika kutambua na kuthamini mchango wa Wanawake katika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo nchini. Na,Paul Yohana Katika kuenzi na kuthamini mchango…

1 March 2024, 8:07 pm

96 wahitimu mafunzo ya udereva Maswa

Jumla  ya  maafisa  usafirishaji 96  wamepatiwa  vyeti vya  udereva  na  leseni  za  uendeshaji  vyombo  vya  moto  ikiwemo  pikipiki  na  magari  madogo  baada  ya  kufuzu  mafunzo  ya  uendeshaji  wa  vyombo  hivyo. Akikadhi  vyeti  hivyo  na leseni , Mkuu  wa  Wilaya  ya …

1 March 2024, 5:03 pm

Wanawake jamii ya kihadzabe Meatu waomba msaada wa Rais Samia

Jamii ya kihadzabe  inayoishi pembezoni mwa pori la hifadhi Makao Wilayani Meatu Mkoani Simiyu yahofia kutoweka kutokana na mabadiliko ya tabia ya Nchi. Na,Alex Sayi Wanawake wa jamii ya kihadzabe wamuomba Rais Dkt,Samia kulinusuru kabila hilo ili lisiweze kutoweka kutokana…

25 February 2024, 6:29 pm

Takukuru Simiyu yaokoa zaidi ya shilingi milioni 70

Na Nicholaus Machunda Taasisi  ya  Kuzuia  na  Kupambana  na  Rushwa  mkoa  wa  Simiyu  imefanikiwa  kuokoa  fedha   zaidi  ya shilingi  milioni sabini  zilizotaka  kufanyiwa  ubadhirifu  katika  Chuo cha  Maafisa  Tabibu  wilayani  Maswa. Akitoa  taarifa  kwa  waandishi  wa  habari, Naibu Mkuu wa  Takukuru  mkoani …

25 February 2024, 6:14 pm

CHADEMA Simiyu yajipanga kuingia  kwa  kishindo uchaguzi serikali za mita…

Chama cha  Demokrasia  na  Maendeleo   Chadema  Mkoa  wa  Simiyu  kimesema  kuwa  kimejipanga  kuingia  kwa  kishindo  katika  uchaguzi  wa  serikali  za  mitaa utaofanyika  mwishoni  mwa  mwaka  huu  wa  2024. Kauli  hiyo  imetolewa  na  Mwenyekiti  wa  Chama  hicho  Mkoa  wa  Simiyu   Musa …

7 February 2024, 1:56 pm

DC Maswa atahadharisha wanaotorosha  mazao ya nafaka

Mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  mkoa  wa  Simiyu  Mhe  Aswege  Kaminyoge  amewatahadharisha  Wafanyabiashara  wa  Mazao ya  Nafaka utoroshaji  na  kukwepa  kulipa  Ushuru  wa  Mazao  hayo. Mhe  Kaminyoge  amesema  hayo  katika  kikao  cha  Wadau  wa Kilimo  na  Mazao  Mchanganyiko  kilichofanyika  Katika  ukumbi  wa …

25 February 2022, 12:30 pm

Katibu  Tawala  Wilaya  ya   Maswa  awaasa    viongozi  kuwatumikia …

Katibu   Tawala  wilaya  ya  Maswa  Agnes  Alex  amewataka  viongozi  waliopewa   Dhamana  ya  Kuwatumikia  wananchi     wanawatumikia  kikamilifu  ili  kukidhi  matarajio  yao. Katibu  Tawala    ameyasema  hayo  wakati  wa  Uzindunduzi  wa   Kikao  cha  Uraghbidhi  kilichofanyika  Februari  22, katika  Ukumbi  wa  Halmashauri  ya  Maswa …

22 February 2022, 6:02 pm

Taasisi  ya  TWAWEZA  yatoa  Mafunzo   Kwa  Waraghabishi  Wilayani  Mas…

Jumla  ya  Waraghabishi  Thelathini  na  sita (36)  kutoka  kata  18  za  wilaya  ya  Maswa  Mkoani  Simiyu  wamepewa  Mafunzo  ya  kuwawezesha  kuibua   changamoto  na  Vipaumbele  vya  Maendeleo  kwenye   maeneo  ya  vijiji  vyao. Akizungumza  na  Sibuka  Fm   Meneja  Programu  kutoka  Shrika  la …