Sibuka FM

Afya

28 March 2024, 10:19 am

LAAC yaipongeza Maswa kwa usimamizi mzuri wa miradi

Kamati  ya  Kudumu  ya  Bunge  ya  Hesabu  za  Serikali  za  Mitaa –  LAAC   imeipongeza  Halmashauri  ya  Wilaya  ya  Maswa  kwa  Usimamizi  Mzuri  wa  Fedha  za  Miradi  ya  Maendeleo zinazoletwa  Wilayani  hapo. Akitoa  Pongezi  hizo  mara  baada  ya  kutembelea  Jengo  la …

10 March 2024, 8:38 am

Red Cross: Mwanamke ni nguzo muhimu kwa taifa

Chama cha msalaba mwekundu mkoani Simiyu kimesherekea siku ya Wanawake duniani kwa kufanya usafi katika hospitali ya wilaya ya Maswa katika kutambua na kuthamini mchango wa Wanawake katika Nyanja mbalimbali za kimaendeleo nchini. Na,Paul Yohana Katika kuenzi na kuthamini mchango…

15 July 2021, 12:35 pm

Wananchi wilayani Maswa Mkoani Simiyu walalamikia upatikanaji wa huduma…

Mkuu  wa  mkoa  wa  simiyu  Mh  Davidi  Zacharia  Kafulila  amemuagiza  mkuu  wa  Wilaya  ya  Maswa  Mh ,   Aswege  Kaminyoge  Kufuatilia  Changamoto  ya  mama  wajawazito  wanaoenda  kujifungua  katika  Hospitali  ya  wilaya  ya  Maswa  kutozwa  Fedha. Maagizo  hayo  ameyatoa  wakati  wa  Mkutano …

24 June 2021, 10:05 am

RC Simiyu aagiza kusimamishwa kazi Daktari aliyesababisha kifo cha Mam…

Mkuu  wa mkoa  wa  Simiyu   Mh  David   Kafulila  amemuagiza  Mkurugenzi  Mtendaji  wa  Halmashauri   ya  wilaya  ya  Maswa   kumsimamisha  kazi   mganga  Mfawidhi  wa   Zahati  ya  Senani   iliyopo  kata  ya  Senani  wilayani  hapa   Ally  Soud   kwa  kusababisha   Kifo  cha  Mama  na  Mtoto …

19 April 2021, 5:09 pm

Vifo vitokanavyo na Uzazi vyapungua Wilayani Maswa

Vifo  vitokanavyo  na  Uzazi  wilayani  Maswa  mkoani  Simiyu vimepungua  kutoka vifo  12  kwa  mwaka  2018  hadi  kufikia  vifo  3  kwa  mwaka  2020. Takwimu  hizo  zimetolewa  na  Mratibu  wa  Huduma  ya  Mama  ya  mtoto  kutoka  Hospitali  ya  wilaya ya  Maswa  Angella …