Storm FM

Storm FM

13 March 2024, 4:20 pm

Wananchi wakwama kisiwani kisa kivuko

Ukosefu wa kivuko cha uhakika katika visiwa mbalimbali hapa nchini imekuwa changamoto kwa wnanchi kufanya shughuli za uchumi Wakazi wa kisiwa Cha Izumacheli wilayani Geita wamedai kukabiliwa na Changamoto ya usafiri wa Kutoka katika kisiwa hicho baada ya ferry waliyokuwa…

12 March 2024, 3:05 pm

Ubovu wa barabara wakwamisha maendeleo

Kuharibika kwa miundombinu ya barabara nakutelekezwa kwa muda mrefu bila kufanyiwa matengenezo imekuwa kikwazo cha maendeleo kwa wananchi wengi Na Mrisho Sadick – Geita Wakazi wa mitaa ya Katundu na Moringe Halmashauri ya Mji wa Geita wameiomba serikali kuijenga kwa…

4 June 2021, 9:50 pm

Buzi wakamatwa Geita

Baadhi ya wafugaji wa Mifugo aina ya mbuzi  katika Mtaa wa Mpomvu  kata ya Mtakuja Halmashauri ya mji wa Geita  wamefika  nakutoa malalamiko katika ofisi  ya mtaa huo kutokana na mbuzi wao kukamatwa bila kufuata utaratibu unaotakiwa. Aidha wananchi wa…

4 June 2021, 9:41 pm

Tutumie nishati mbadala kuokoa Mazingira

Jamii katika halmashauri ya mji wa Geita mkoani Geita imetakiwa kutumia nishati mbadala kwa matumizi ya majumbani na sehemu za kazi ili kuondokana na changamoto ya ukataji wa miti na utupaji wa taka hovyo. Rai hiyo imetolewa na afisa mazingira…

30 May 2021, 2:00 pm

Watoto 4 wakamatwa kwa kukesha wakicheza PS

Watoto Wanne(4) Akiwemo  Ramadhani Hasani   Wakazi Wa  Kata Ya Nyankumbu Halmashauri Ya Mji Wa Geita Mkoani Geita Wamekutwa Wamefugiwa Ndani Ya Chumba Cha Mchezo  wa Game za Play Statio PS. Akielezea Mmoja Wa Wazazi Wa Watoto Hao Bi Amina Jumanne  Amesema…

28 May 2021, 2:10 pm

Wanaume watakiwa kujitokeza kufanyiwa tohara Geita

Wanaume ambao hawajafanyiwa tohara Mkoani Geita wameshauriwa kujitokeza katika vituo vya afya kupatiwa huduma hiyo kwani inasaidia kujikinga na magonjwa mbalimbali ikiwemo kupunguza 60% ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi. Rai  hiyo imetolewa na Mratibu wa kuthibiti  Ukimwi Mkoani Geita …

27 May 2021, 2:22 pm

Wanawake tujishughulishe na kazi kuepuka utegemezi

Wanawake katika kata ya Mgusu wilayani Geita wameshauriwa kujishughulisha na biashara ndogo ndogo za halali ili kuepuka utegemezi katika jamii. Rai hiyo imetolewa na wanawake wanaofanya kazi katika mgodi wa uchimbaji wa madini ya dhahabu wa mgusu miners wakati wakizungumza…

26 May 2021, 2:17 pm

Mkoa wa Chato wapendekezwa kuundwa na wilaya 5

Kikao cha kamati ya ushauri cha mkoa wa Geita (RCC) kimekubaliana kwa pamoja kuwa mkoa mpya  wa Chato  utakaomegwa kutoka katika mkoa wa Geita na mikoa jirani za kagera na kigoma utaundwa na wilaya tano za Chato,Bukombe,Ngara,Bihalamulo na kakonko. Kikao…