Storm FM

stormFM

8 June 2021, 3:37 pm

Jamii Yaaswa Kuwaelewa Wajawazito

Na Zubeda Handrish: Jamii imetakiwa kuwa na uelewa juu ya  hali anayopitia mwanamke katika kipindi cha ujauzito ambacho mara nyingi hupelekea mwanamke kuchagua baadhi ya vyakula pamoja na hasira. Hayo yamezungumzwa na Daktari Victor Kajoba kutoka hospitali binafsi ya SAKAMU…

7 June 2021, 6:57 pm

TWCC Yawatembelea Wanawake Migodini

Na Zubeda Handrish: Katika kuendelea kuwainua wafanyabiashara wadogo wanawake kwa upande wa Uchimbaji,Mkurugenzi Mtendaji Wa Chama Cha Wafanyabiashara Wanawake Tanzania (TWCC) Bi Mwajuma Hamza ametembelea machimbo madogo ya Dhahabu ya Mgusu, Msasa na Nyarugusu Mkoani Geita Akizungumza na Strom FM…

31 May 2021, 8:08 pm

Ushindani UMITASHUMTA Waongezeka Geita.

Na Joel Maduka: Afisa michezo Mkoa wa Geita, Carol Steven amesema kwa kiasi kikubwa ushindani kwa halmashauri sita zilizopo ndani ya Mkoa wa Geita ni mkubwa zaidi ukilinganisha na miaka ambayo wameshaendelea na michuano ya michezo ya UMITASHUMTA ambao umekuwa…

15 April 2021, 6:23 pm

Tukuze Utalii wa ndani sisi wenyewe

Na Mrisho Sadick: Katika kukuza utalii wa ndani baadhi ya walimu wa shule za msingi na sekondari Mkoani Geita wameungana kwa pamoja  kuchangia ziara ya  mafunzo katika Hifadhi za Taifa  kwa lengo la kujijengea uwezo wa kitaaluma kuhusu rasilimali hizo.…

15 April 2021, 6:15 pm

Wanufaika wa Tasaf Geita wapewa ushauri

Na Elizabeth Obadia Wakazi wa mtaa wa nyamalembo wanaonufaika na mpango wa kunusuru kaya masikini tanzania tasaf wameshauriwa kuzitumia vizuri pesa wanazozipata kwa kufanya uwekezaji ili kujiongezea kipato zaidi. Hayo yamebainishwa na mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa nyamalembo Bw.…

15 April 2021, 6:08 pm

Walazimika kuanzisha kituo cha Polisi kukabiliana na uhalifu

Na Mrisho Sadick: Kutokana nakushamili kwa vitendo vya uhalifu katika kata ya Nyankumbu  mjini Geita wananchi na viongozi wa eneo hilo wamelazimika kuanzisha kituo kidogo cha polisi ili kukabiliana na changamoto hiyo. Wakizungumza katika eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi,…

15 April 2021, 6:00 pm

Wananchi washiriki kutengeneza madawati Geita

Na Paul Lyankando: Serikali ya kijiji cha Ikunguigazi wilayani mbogwe mkoani Geita kwa kushirikiana na wananchi wameendelea kutengeneza madawati ili kuondoa changamoto ya wanafunzi zaidi 890 kusomea chini. Mwenyekiti wa kijiji cha Ikunguigazi Bw Jumanne Manyasa amesema kwa kushirikiana na…